Marekani: Familia ya marehemu Valambhia yaifungulia kesi Serikali ya Tanzania. Dreamliner hatarini

You son of devil...bullshit.Ulaaniwe kwa kuabudu mapepo
Wewe umesha laaniwa mlaaniwa, MAMA TANZANIA amekulaani milele wewe na kizazi chako!
Hakika nakwambia kuanzia leo tarehe 6 Mwezi wa 9 mwaka wa 2018, mbingu yako itakuwa chuma na ardhi yako itakuwa shaba, utauza chumvi kwenye mvua na siagi wakati wa jua, hii laana itaambatana na wewe na kizazi chako milele yote, walahi
Amini nakwambia uumbaji wote umesikia na wako kazini mpaka utakapo angamia milele wewe na kizazi chako!
MIMI SIO SON OF DEVIL BUT NI DAUGHTER OF DEVIL!
MIMI NI GODDESS ISIS!
That’s all
 
Whatever you're called.Pumbavu kabisa eti mama Tanzania bila aibu wakati usiku kucha unamuwangia mama Tanzania bila aibu yoyote.You must differentiate your individual interest and the so called mama Tanzania.Wew ni generation ya Lucifer,NI unafiki usiomithirika kujifanya wew unampenda Mungu.Better you lost!!
 
Familia ya hayati Devram Valambhia ineifungulia kesi serikali ya Tanzania kwenye mahakama ya District Court ya Columbia Marekani.

Kesi hii ni ya serikali kushindwa kuilipa kampuni hiyo madai yake baada ya kuuza vifaa vya kijeshi.

Mwanzo lilikuwa deni la $ 55098171.- lakini kutokana na riba na tozo limefika $119.5 million.

Ikumbukwe serikali ilishindwa kesi hii kwenye mahakama za Tanzania

Utetezi wa serikali ni kuwa kesi imepitwa na wakati , hoja iliyotupiliwa mbali.

Dreamliner mpya mashakani "'kichaa'" wangu

Source: The Citizen online

=======

The family of the late businessman Devram Purshotam Valambhia has summoned the government of Tanzania to court in the United States, demanding payment of claims amounting to $119.5 million (nearly Sh280 billion).

The plaintiffs are the widow and four children of Valambhia, who died in 2005 in the US. They are currently all US citizens and live in Houston, Texas.

The summons was submitted at the United States District Court for the District of Columbia in February, this, year by Ms Vipula D. Valambhia and Priscilla D. Valambhia, Bhavna D. Valambhia, Punita D. Valambhia and Krishnakant D. Valambhia.

They are seeking to be paid $55,099,171.66 as ordered by the High Court of Tanzania in 2003. The sum was supposed to be paid as of June 4, 2001, plus interest accruing at seven per cent per annum since then, amounting to $64,500,750.87 as of February 19, 2018.

Defendants in the case include the Bank of Tanzania (BoT) and the Ministry of Defence and National Service.

According to a court proceedings document obtained by The Citizen, Tanzania purchased military equipment in the 1980s that it never fully paid for, despite repeated rulings by the High Court of Tanzania.

The case arose from a contract to supply troop carriers, tanks and other military equipment, entered into between Tanzania, acting through its Ministry of Defence, and the supplier, Transport Equipment Ltd.

The case, which was first filed at the local court as Civil Case No. 210 of 1989, was decided nine times in both the High Court and Court of Appeal of Tanzania, mostly in favour of the businessman.

According to the recent case docket, there have been 12 proceedings since the case was opened in February, this year.

The plaintiffs, represented by Texas-based attorney Meredith B. Parenti of Parenti Law PLLC, asked the court to throw out Tanzania’s plea that it was entitled to sovereign immunity.

“The defendants are not entitled to sovereign immunity because their purchases of military equipment are classic a commercial activity for which sovereign immunity is waived under the Foreign Sovereign Immunities Act (“FSIA”),” reads part of the plaintiff submission filed in June, this year.

It says that despite Tanzanian courts’ consistently ruling that Mr Valambhia and his family are entitled to $55 million plus interest as of June 4, 2001, the defendants never heeded the High Court decree and never paid Valambhia or his family. It says Tanzania’s failure to pay the amounts due under the commercial contract amounted to breach of contract on which the Tanzanian judgment is based.

“From the face of the complaint, this suit is timely. Plaintiffs filed their original Complaint on February 19, 2018, 14 years after the Tanzanian courts rejected Defendants’ multiple objections and challenges to the Tanzanian Judgment,” says the plaintiffs’ submission. The government of Tanzania was represented by Mr Lawrence H. Martin, Ms Clara E. Brillembourg and Mr Nicholas M. Renzler.

In its defence submitted on July 16, this year, Tanzania requested the court to dismiss the complaint pursuant for lack of subject matter jurisdiction and, arguing that the claim was also time-barred.

“The applicable limitations period is 15 years, but the plaintiffs waited longer than that to bring their recognition claim,” reads part of Tanzania’s submission.

But the plaintiffs said they commenced this action 14 years after the Tanzanian courts disposed of defendants’ multiple attempts to set aside the Tanzanian judgment.
Sasa ukitojea hasara kwa serikali au wewe na familia yako.
Yaani majitu kama wewe itawachukua mda sana kujua Tanzania ni yako siyo serikani.
 
Nimeona hii kesi nyingine iliyofunguliwa nashindwa kuelewa ni wapi tunaenda?

Hawa waliosababisha haya madeni wapo wapi na kwanini mahakama za kifisadi zisifanye kazi yake?

Hawa waliotusababishia matatizo haya ya mikataba ya hovyo kudaiwa mabilioni ya pesa ni wakubwa kuliko serikali kwanini hawawajibishwi?

Huenda inchi hii kuna walio juu ya Sheria lakini naona utawala wa Magufuri ukipata vikwazo vingi kwa sababu ya CCM kujali maslahi yao binafsi bila kujali maslahi ya umma wa wa Tanzania.

Pole J.P.M una mtihani mgumu maana umezungukwa na wapigaji.

In Summary
The plaintiffs are the widow and four children of Valambhia, who died in 2005 in the US. They are currently all US citizens and live in Houston, Texas.
In The Headlines WEDNESDAY, SEPTEMBER 5, 2018
Valambhia family battles Tanzania government for Sh280bn payout

Dar es Salaam. The family of the late businessman Devram Purshotam Valambhia has summoned the government of Tanzania to court in the United States, demanding payment of claims amounting to $119.5 million (nearly Sh280 billion).
The plaintiffs are the widow and four children of Valambhia, who died in 2005 in the US. They are currently all US citizens and live in Houston, Texas.

The summons was submitted at the United States District Court for the District of Columbia in February, this, year by Ms Vipula D. Valambhia and Priscilla D. Valambhia, Bhavna D. Valambhia, Punita D. Valambhia and Krishnakant D. Valambhia.

They are seeking to be paid $55,099,171.66 as ordered by the High Court of Tanzania in 2003. The sum was supposed to be paid as of June 4, 2001, plus interest accruing at seven per cent per annum since then, amounting to $64,500,750.87 as of February 19, 2018.

Defendants in the case include the Bank of Tanzania (BoT) and the Ministry of Defence and National Service.

According to a court proceedings document obtained by The Citizen, Tanzania purchased military equipment in the 1980s that it never fully paid for, despite repeated rulings by the High Court of Tanzania.

The case arose from a contract to supply troop carriers, tanks and other military equipment, entered into between Tanzania, acting through its Ministry of Defence, and the supplier, Transport Equipment Ltd.

The case, which was first filed at the local court as Civil Case No. 210 of 1989, was decided nine times in both the High Court and Court of Appeal of Tanzania, mostly in favour of the businessman.

According to the recent case docket, there have been 12 proceedings since the case was opened in February, this year.
The plaintiffs, represented by Texas-based attorney Meredith B. Parenti of Parenti Law PLLC, asked the court to throw out Tanzania’s plea that it was entitled to sovereign immunity.

“The defendants are not entitled to sovereign immunity because their purchases of military equipment are classic a commercial activity for which sovereign immunity is waived under the Foreign Sovereign Immunities Act (“FSIA”),” reads part of the plaintiff submission filed in June, this year.

It says that despite Tanzanian courts’ consistently ruling that Mr Valambhia and his family are entitled to $55 million plus interest as of June 4, 2001, the defendants never heeded the High Court decree and never paid Valambhia or his family. It says Tanzania’s failure to pay the amounts due under the commercial contract amounted to breach of contract on which the Tanzanian judgment is based.

“From the face of the complaint, this suit is timely. Plaintiffs filed their original Complaint on February 19, 2018, 14 years after the Tanzanian courts rejected Defendants’ multiple objections and challenges to the Tanzanian Judgment,” says the plaintiffs’ submission. The government of Tanzania was represented by Mr Lawrence H. Martin, Ms Clara E. Brillembourg and Mr Nicholas M. Renzler.

In its defence submitted on July 16, this year, Tanzania requested the court to dismiss the complaint pursuant for lack of subject matter jurisdiction and, arguing that the claim was also time-barred.

“The applicable limitations period is 15 years, but the plaintiffs waited longer than that to bring their recognition claim,” reads part of Tanzania’s submission.

But the plaintiffs said they commenced this action 14 years after the Tanzanian courts disposed of defendants’ multiple attempts to set aside the Tanzanian judgment.
 
Inatakiwa katiba ya kuwajibisha hata marais wastaafu kwa luwapeleka mahakamani kwa ajili ya upuuzi wa kipindi wakiwa madarakani.
 
Wewe umesha laaniwa mlaaniwa, MAMA TANZANIA amekulaani milele wewe na kizazi chako!
Hakika nakwambia kuanzia leo tarehe 6 Mwezi wa 9 mwaka wa 2018, mbingu yako itakuwa chuma na ardhi yako itakuwa shaba, utauza chumvi kwenye mvua na siagi wakati wa jua, hii laana itaambatana na wewe na kizazi chako milele yote, walahi
Amini nakwambia uumbaji wote umesikia na wako kazini mpaka utakapo angamia milele wewe na kizazi chako!
MIMI SIO SON OF DEVIL BUT NI DAUGHTER OF DEVIL!
MIMI NI GODDESS ISIS!
That’s all
Duuu nadhani huyo Jamaa sasa anatambaa Kama buibu na Nge badala ya kutembea. Hizo laana za kuchezea MAMA TANZANIA 🇹🇿 nimezikubali na lazima atubu ama laana zitamtafuna
 
"Naapa kuwalinda wastaafu wote"

Tulipe tu! Mapato si yanaongezeka kila mwaka!
 
Back
Top Bottom