matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Tuliompenda Magufuli lkni tukampigia Lowassa Kura kwa sababu ya UOZO WA CCM, Hadi leo hatueleweki.
Jamani sio kwamba tulimuhusudu mtuhumiwa wa ufisadi, ilikuwa ni silaha ya Kuulia nyoka baada ya hapo na yenyewe ingewekwa kando maana hata ivyo ilikuwa imeisha choka.
Ona sasa tunarudi kwenye malalamiko yale yale.