Marekani: Familia ya marehemu Valambhia yaifungulia kesi Serikali ya Tanzania. Dreamliner hatarini

Unaharisha mdomoni badala ya tundu stahiki.
Lengo ni kuonyesha utawala mbovu wa CCM inavyotutia hasara Watanzania.
Sasa huelewi nini hapo go grow a brain you moron
Umetiwa hasara wapi we kenge?
Chuki zenu za upinzani mnapinga kila kitu, ulivyokua fala unahusisha dreamliner na videni vya viberiti.
Kanye ulale
 
Bichwa tako hujui hata unachoandika unatoa ushuzi tu...bullshit!!!
 
yaani hii nchi imeshakuwa " Muhalifu sugu " Aisee
 
Kwa mantiki hii Magufuri hana cha kufanya maana hata Jana nilisikia akisema wakubwa wamegawana gesi ndio maana ameamua kuwekeza kwenye umeme wa maji hao wakubwa kuliko serikali ya umma wa wa Tanzania ni akina nani?
Atakayefuata naye atasema kwenye umeme wa maji wakubwa wameshagawana, naye atatafuta kitega uchumi chake siku akistaafu, maliasili zote zikisha gawanywa kwa wakubwa maliasili pekee tutakayobaki nayo ni vinyesi vyetu.
 
Mabepari wameanza kufukua makaburi, silaha za Vita ya Kagera deni limedaiwa leo??? Mwaka huu tutaambiwa MV LIEMBA haikulipiwa gharama za manunuzi sio bure.
Vita ya uchumi ndio kwanza inaanza,ukitumia darubini usishangae wadai ni wazawa waliotengeneza mikataba ya kifisadi.
 
angalia hili bwege lililoleta mada,so what?kesi za kawaida tu hizi we mbweha unashangilia nini sasa?
HUJUI HATA HII MIHELA WE NDO UNALIPA
Maskini mungu wape akili hawa ngumbaru ,we unadaiwa hela kibao hapo watakulima,watapandisha we ndo unalipa nani mwengine,then kukija mambo kama haya unashangilia bwege wewe utalipa wewe,mwanao,kitukuu,vimada,michepuko yako na ya wazazi wako wote watalipa pumbavu kabisa na ndugu zako pia,
mijitu mingine ingekua uganda enzi za dada ushalimwa risasi za kichwa.
mkishakunywa bia zenu za buku mnasahau hata km ni serikali hii imepunguza bei karibia kila kitu
Hakika sio makosa yako, unafikiri kuna mtu anapenda nchi kudaiwa?. Watu wanachukia jinsi msivyotumia akili kupangua kesi zenye mazara kwa watanzania.
 
Wanajisumbua tu hao!
Watakufa wote hao vibabu!
Hamna kitu kitu hapo, ma lawyer wanataka posho za bure!
MCHEZOOOOOO!
Hii kesi ni maarufu sana hawajisumbui, walishinda ngazi zote za mahakama za kwetu lakini serikali kwa ubabe ikagoma kulipa, sasa ubabe huu unaofanywa na walevi wa madaraka sababu hwakupata 10%. wanaolipa ni sisi hohe hae walipa kodi!
 
Sisi wenyewe ndio tunaitangazia dunia hela tunazo sasa mdeni wako anajua kabisa hela unazo unafikili atakuacha? Lazima aje kudai..
 
Umetiwa hasara wapi we kenge?
Chuki zenu za upinzani mnapinga kila kitu, ulivyokua fala unahusisha dreamliner na videni vya viberiti.
Kanye ulale
Tatizo lako badala ya ubongo kichwani umejaza kinyesi
Hujui kama ilivyokamatwa Bombardier kule Canada tusipolipa watakamata hiyo ndege mpya inayotengenezwa Marekani?
Baba yako alipoteza mbegu zake bure,huna akili
 
angalia hili bwege lililoleta mada,so what?kesi za kawaida tu hizi we mbweha unashangilia nini sasa?
HUJUI HATA HII MIHELA WE NDO UNALIPA
Maskini mungu wape akili hawa ngumbaru ,we unadaiwa hela kibao hapo watakulima,watapandisha we ndo unalipa nani mwengine,then kukija mambo kama haya unashangilia bwege wewe utalipa wewe,mwanao,kitukuu,vimada,michepuko yako na ya wazazi wako wote watalipa pumbavu kabisa na ndugu zako pia,
mijitu mingine ingekua uganda enzi za dada ushalimwa risasi za kichwa.
mkishakunywa bia zenu za buku mnasahau hata km ni serikali hii imepunguza bei karibia kila kitu
Ni aibu kwamba wengi wanaochangia ktk mjadala huu wanashabikia Muhindi ambaye siyo raia wa TZ. Hapa ndo utaona udhaifu wa ufahamu wetu. Hawa walikuwa wala rushwa na watoa rushwa tu ktk miaka hiyo. Ndiyo maana ktk ufahamu wangu huwa sitegemei kwamba iko siku nchi za kiafrika zitanufaika kwa vitega uchumi vya wahingdi. NI ajabu kwa utaratibu wa US miaka michache baada ya kifo cha baba yao leo hii ni raia wa US!

Tujielewe badala ya zomea zomea isiyo na manufaa kwetu. Eti tunasahabikia mtu wa nje kushtaki serikali. Hata kama serikali ni mbaya saana, bado ndiyo inayotegemewa kukupa maji ya kunywa kijijini.
Mkuu sidhani kama kuna anaeshabikia, naona jinsi wachangiaji wengi wanavyo ituhumu ccm kutufikisha hapa, kuweka record sahihi, vifaa ambavyo Vallambia aliiuzia serikali ni mwaka 1983, Kwa ubabe wa watawala wa wakati huo (CCM) wakagoma kumlipa, akafungua kesi akashinda, serikali ikakata rufaaa ngazi zote hadi court of appeal, akashinda kesi na bado serikali ikagoma kumlipa, ni kesi iliochukua miaka mingi hadi Vallambia mwenyewe akafa, haki haina rangi, serikali hizi za ccm na tanu ni majanga toka 1965 walipovunja vyama vingi, maana ni ubabe ubabe tuu! Umesahau ya Sokoine na uhujumu uchumi? Amekamata watu akawaweka jela halafu anakwenda bungeni kuwatungia sheria kuwa walichofanya jana yake ilkua ni makosa, yaani leo unanikamata nikinywa soda, sio kosa, unanifunga halafu kesho unatunga sheria ya kuzuia kunywa soda kuhalalisha kifungo changu!!!! sasa it does not matter alieonewa ni mweusi, mzungu, mhindi au mwarabu haki ikitendeka furahia, hawa makaburu wanao tutawala ni wanafiki wakubwa, wametoa pesa na ardhi kusaidia ukombozi Africa kusini itoke ktk ubaguzi, halafu wanatumia kodi zetu kutubagua, double standards of the phd level !
 
Ni uelewa huo huo ndo unatusumbua. Ukisema ni CCM ni CCM haisaidii labda kama lengo ni kushika nafasi ya CCM. Kwangu mimi mwananchi nasimama kati na kuangalia kesi ikoje. Wala rushwa wengine ni mawaziri wakuu wastaafu na hadi leo wanapewa heshima. Hata hiyo CHADEMA nani alishauliza Mtei aliondokaje serikalini? Hata ingekuwa CHADEMA ni hayo hayo maana naelewa ni wale wale ambao huko Bungeni wamekuwa wakijiongezea posho bila aibu. Bungeni wanapewa bahasha na kuficha leo hii wakiwa kwenye mambo makubwa ya kitaifa watafanya nini?

Hiyo ya Sokoine naona unailaani lakini hukufanya homewok yako kuona mambo kama hayo ktk nchi zingine yalikuwaje. Kuna nchi zilizidi TZ ktk kupambana na ufisadi. Tafuta Black economy crackdown, corporate economic crime, n.k. Leo tunaisifu China na kusahau ilivyofanya kwa wezi!
 
Mkuu hakuna sehemu niliyoitaja chadema na wala mm sio mwanachama wa chadema mimi ni mpenda haki hata wewe ukionewa nitapiga kelele

Mtei aliandika barua ya kijiuzulu akamkabidhi rais wakati huo alikua Nyerere, hawakuelewana kuhusu masharti ya mikopo ya IMF

Hakuna sababu ya kuangalia/kufananisha na nchi zingine namna Sokoine alivyo deal na alio waita yeye wahujumu uchumi, sababu hana tofauti yoyote na mtu alie chukua sheria mkononi mwake hawezi kuwa ni roll model,

Sijawahi kuwasifia china, na kuhusu china wanavyo nyonga watu sidhani kuna sifa your te hapo. kumbukumbu kubwa kabisa niliyonayo kuhusu china ni unyama mkubwa serikali ya china iliyowafanyia raia wake, wanafunzi kwa melfu ktk eneo liitwalo Tian squre (kama siakosea jina) walipondwapondwa na vifaru vya jeshi hilohilo la china, hao wanafunzi ni WACHINA kosa lao ni kufanya maandamano kuonyesha hisia zao dhidi ya mabavu na ukomunisti wa serikali ya china, hakika viwanda vingi vikubwa unavyo viona china ni vya western world, hawawezi kufanya manufacturing makwao sababu mishahara iko juu na sheria za mazingira ni ngumu sana, kwa taarifa yak ghuangzo ndio una the highest level ya uchafuzi wa mazingira kuliko sehemu yoyite duniani mengi yakujifunza china sio ya kujivunia!
 
Madeni ya CCM hayo si ya kwetu; gharama za kupitisha miswaada kwa hati ya dharura!!
 
Tatizo lako badala ya ubongo kichwani umejaza kinyesi
Hujui kama ilivyokamatwa Bombardier kule Canada tusipolipa watakamata hiyo ndege mpya inayotengenezwa Marekani?
Baba yako alipoteza mbegu zake bure,huna akili
We baba yako pia alikosea sana kumwagilia mbegu zake kwenye maboga yako huko nyuma.
 
Back
Top Bottom