kisikiji
JF-Expert Member
- Feb 2, 2015
- 2,530
- 2,495
Angekua kichaa kama unavyomwona siangeshapewa uwaziri.Mbona mimi nakuona wewe ndio kichaa haswa. Tatizo liko wapi?
Angekua kichaa kama unavyomwona siangeshapewa uwaziri.Mbona mimi nakuona wewe ndio kichaa haswa. Tatizo liko wapi?
Unapenda udaku.Angekua kichaa kama unavyomwona siangeshapewa uwaziri.
Ndiyo wewe hupendi?.Unapenda udaku.
Ndugu soma uelewe hiyo kesi iliyotolewa hukumu mwaka 2001... enzi za Mkapa. Huenda kesi yenyewe iliibuka zama hata za mwinyi au nyerere.Tutashuhudia mengi sana ndani ya utawala huu.
Usinipangie cha kufanya....
Kama hupendi unafanya nini humu?.
Sikupangii, ila jipangie vya kukometi ili uheshimike. Kazi kusifia ujinga hata unaoonekana wazi na kupinga ukweli.Usinipangie cha kufanya.
Lakini mku huwezi kuendelea au kujua matatizo uliyonayo bila kujilinganisha na wenzakoHuku utamaduni wa kujilinganisha na Kenya,Uganda na Rwanda ni wa kimaskini sana tuuache tujaribu kuwa na role model kama SA na Nigeria huenda ata vision zetu zikakaa sawa..sipendi haka kamkumbo hadi waheshimiwa bungeni hupenda kujilinganishia..hii ni aibu
ni mnafiki tu hana lolote...anapiga sana domo hana uhakika na anchokisema ushahidi Wa lowasa mwizi upo wapi na alikua anatuonyesha makarabrasha?!Tulishasema kuwa Lissu ni zaidi ya tumjuwavyo
Tatizo siasa za kijinga kesi ya tangu miaka ya 1980s Leo hii kuna nyumbu wanafurahia ili kumkoa JPM haahahaha utalipa wewe na vijukuu vyako...angalia hili bwege lililoleta mada,so what?kesi za kawaida tu hizi we mbweha unashangilia nini sasa?
HUJUI HATA HII MIHELA WE NDO UNALIPA
Maskini mungu wape akili hawa ngumbaru ,we unadaiwa hela kibao hapo watakulima,watapandisha we ndo unalipa nani mwengine,then kukija mambo kama haya unashangilia bwege wewe utalipa wewe,mwanao,kitukuu,vimada,michepuko yako na ya wazazi wako wote watalipa pumbavu kabisa na ndugu zako pia,
mijitu mingine ingekua uganda enzi za dada ushalimwa risasi za kichwa.
mkishakunywa bia zenu za buku mnasahau hata km ni serikali hii imepunguza bei karibia kila kitu
Haujafatilia tu ila hata wao wanadaiwa sana tu sema hawanaga ushabiki maandazi na wakijinga kama huu Wa kwetu ...kwamba dreamliner ikianguka wanashangilia hawanaga mambo kama haya..Jamani mbona kesi tu kwetu Tanzania kila kukicha? Mbona majirani zetu Kenya, Ug au Rwanda za kwao hatuzisikii au wao hawana kabisa?
Of course, ni makosa ya ccm!Ila haya si makosa ya uncle nadhani.
halafu utawasikia mashabiki wa TISS watakwambia idara ilishauri ila ushauri wao ulipuuzwa.Kichaa ajiangalie sana .
Ila serikali yetu nayo ilinunuaje silaha kwa mtu na sio serikali
punguza jazba.angalia hili bwege lililoleta mada,so what?kesi za kawaida tu hizi we mbweha unashangilia nini sasa?
HUJUI HATA HII MIHELA WE NDO UNALIPA
Maskini mungu wape akili hawa ngumbaru ,we unadaiwa hela kibao hapo watakulima,watapandisha we ndo unalipa nani mwengine,then kukija mambo kama haya unashangilia bwege wewe utalipa wewe,mwanao,kitukuu,vimada,michepuko yako na ya wazazi wako wote watalipa pumbavu kabisa na ndugu zako pia,
mijitu mingine ingekua uganda enzi za dada ushalimwa risasi za kichwa.
mkishakunywa bia zenu za buku mnasahau hata km ni serikali hii imepunguza bei karibia kila kitu
Hilo lijamaa limejilaani lenyewe!
Usi mwingize mama Tanzania kwenye upuuzi walahi!
Duh ndio maana TRA hawatangazi
Boss wako ameshasema yeye ni kichaa,sasa wewe ni kichaa zaidi yake
jamani tena???Laana ya kutwangwa risas kwa TUNDU LISSU[/QUOTE
Acha upumbavu si ajabu hata kesi ya Valyambia huijui ilianza lini na inahusu lini,Lissu kapigwa risasi lini na kesi ilianza lini ,si ajabu mnaitwa wavuka mto Mara
Ni kweli lakini Mimi huwa naamini sio vyema kujilinganisha na masikini kuna jinsi inapelekea kuendelea kuwa wazembe.Tuchague Taifa lenye maendeleo tukimbizane nalo kama role model wetu kila sio majirani,hawa majirani ni wa kufanya nao collabo kila sio kujilinganisha bado wana shida kama zetuLakini mku huwezi kuendelea au kujua matatizo uliyonayo bila kujilinganisha na wenzako