Marekani hawana demokrasia ya kweli ; ofisa katolewa nje kama mbwa kisa kupinga vita dhidi ya Iran

Gengis Khan wa Jf

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2024
Posts
1,311
Reaction score
3,344
Mzuka wana jamvi .

Nimeshangaa Marekani inayosifika kwa demokrasia na uhuru wa maoni Jana nimeona clip ya ofisa mstaafubwa jeshi akitolewa kwa nguvu kama takataka kisa kupinga Marekani kutumia na Israel kuingia vitani kipuuzi.

Jamaa alivyoanza kupiga spana tu polisi walimtoa nje kwa nguvu kubwa , inasikitisha sana hii hali
IMG_20260307_221001.jpg

IMG_20260307_221029.jpg
 
ndugu zangu secretarybird ngara23 Seran The Worst na Mbaga Jr inashangaza sana ni namna gani akili ya mtu ilivyokuwa ni a mystery,.

Na zaid haswa kwa huyu kijana adriz ambaye ana uwez mkubwa wa kubadirika badirika kuwa mtu tofauti katika kila akaunti, kama hii ni yake, saa nane usiku atakuja na nyingine.

Kuna akaunti atajifanya mkristu, nyingine myahudi, nyingine demu, nyingine mwalimu wa saikolojia, kobaz, nyingine anakuwa kama kichaaa

Natumaini dosho12 na Infropreneur mlishawahi kuona ile muvi ya SPLIT, basi yule jamaa ana ugonjwa kama huu wa adriz wa kubadirika badirika personallity bila yeye kujijua.

Kuna wakati nilidhania watu kama Chizi Maarifa na Poor Brain ni luzi kumbe ni watu wa masihara ila wako smart ila huyu dogo adriz hana masihara ni mgonjwa.

Dr am 4 real PhD na mzee wangu Mshana Jr counselling na tiba itamfaa huyu kijana kama mtakuwa willing kumsaidia
58cde43df8d25d1d8ee747b267d4fec0.jpg
 
Natumaini dosho12 ulishawahi kuona ile muvi ya SPLIT, basi yule jamaa ana ugonjwa kama adriz wa kubadirika badirika personallity bila yeye kujijua.

Dr am 4 real PhD na mzee wangu Mshana Jr counselling na tiba itamfaa huyu kijana kama mtakuwa willing kumsaidia
View attachment 3554503
Huyo kobaz Ipo siku atakuja na ile I'd yake ya ushoga 😂
 
Naomba ID yake akiwa demu
Nione cha kufanya
 
Focus na mada hapa sio chitchat kujadili watu .

Usikute Mimi na wewe ni ID Moja hapa tunabishana kuwazuga Wana Jf
 
ndugu zangu secretarybird ngara23 Seran The Worst na Mbaga Jr inashangaza sana ni namna gani akili ya mtu ilivyokuwa ni a mystery,.

Na zaid haswa kwa huyu kijana adriz ambaye ana uwez mkubwa wa kubadirika badirika kuwa mtu tofauti katika kila akaunti, kama hii ni yake, saa nane usiku atakuja na nyingine.

Kuna akaunti atajifanya mkristu, nyingine myahudi, nyingine demu, nyingine mwalimu wa saikolojia, kobaz, nyingine anakuwa kama kichaaa

Natumaini dosho12 ulishawahi kuona ile muvi ya SPLIT, basi yule jamaa ana ugonjwa kama huu wa adriz wa kubadirika badirika personallity bila yeye kujijua.

Dr am 4 real PhD na mzee wangu Mshana Jr counselling na tiba itamfaa huyu kijana kama mtakuwa willing kumsaidia
View attachment 3554503
Huyu jamaa kwa kibadilika badilika kinyonga akasome na kuongeza elimu ya kubadilika.

Ila namkubali hivyo hivyo 😂.
 
Tena huyo ilibidi aishie kwenye kitanzi!!!

Wenzako mia wamekubaliana waende kulia unakuja wewe na pombe zako unawavuta muende kushoto unakojua wewe unataka wakuache?
 
ndugu zangu secretarybird ngara23 Seran The Worst na Mbaga Jr inashangaza sana ni namna gani akili ya mtu ilivyokuwa ni a mystery,.

Na zaid haswa kwa huyu kijana adriz ambaye ana uwez mkubwa wa kubadirika badirika kuwa mtu tofauti katika kila akaunti, kama hii ni yake, saa nane usiku atakuja na nyingine.

Kuna akaunti atajifanya mkristu, nyingine myahudi, nyingine demu, nyingine mwalimu wa saikolojia, kobaz, nyingine anakuwa kama kichaaa

Natumaini dosho12 na Infropreneur mlishawahi kuona ile muvi ya SPLIT, basi yule jamaa ana ugonjwa kama huu wa adriz wa kubadirika badirika personallity bila yeye kujijua.

Kuna wakati nilidhania watu kama Chizi Maarifa na Poor Brain ni luzi kumbe ni watu wa masihara ila wako smart ila huyu dogo adriz hana masihara ni mgonjwa.

Dr am 4 real PhD na mzee wangu Mshana Jr counselling na tiba itamfaa huyu kijana kama mtakuwa willing kumsaidia
View attachment 3554503
Wewe jamaa ubongo wako una uwezo mdogo sana wa kuchakata , kuchambua data na kufanya hitimisho sahihi halafu unajiita Jasusi , sasa Jasusi gani hata vitu vidogo vinakushinda kufanya prediction na kuAnticipate properly ?

Kipindi Cha nyuma uliwahi kunituhumu kuwa akaunti za Mafwele , Ghayo , busu la Kenge ni zangu . Sasa nakupa ushahidi huu kuwa Mimi sihusiki na hizo akaunti na mwenye akaunti kaweka wazi akaunti zake zote hizo kupitia gugo .

Hapo nionyeshe Adriz ipo wapi ? secretarybird jamaa wako kama Jasusi labda Jasusi wa punyetoh akiwa na vijana wakina Mbaga Jr

IMG_20260307_223733.jpg
 
😂😂😂 Kobazi ameshiba iftar mchanganyiko wa tende viazi mviringo viazi mbatata viazi vitamu mixer uji wa mtama sasa mwili umechanganyikiwa vimehamia kichwani akili yote haimo tena.
 
Wewe jamaa ubongo wako una uwezo mdogo sana wa kuchakata , kuchambua data na kufanya hitimisho sahihi halafu unajiita Jasusi , sasa Jasusi gani hata vitu vidogo vinakushinda kufanya prediction na kuAnticipate properly ?

Kipindi Cha nyuma uliwahi kunituhumu kuwa akaunti za Mafwele , Ghayo , busu la Kenge ni zangu . Sasa nakupa ushahidi huu kuwa Mimi sihusiki na hizo akaunti na mwenye akaunti kaweka wazi akaunti zake zote hizo kupitia gugo .

Hapo nionyeshe Adriz ipo wapi ? secretarybird jamaa wako kama Jasusi labda Jasusi wa punyetoh akiwa na vijana wakina Mbaga Jr

View attachment 3554511
Hii ☝️ni maajabu. Ngoja nilale sasa.
 
Back
Top Bottom