Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
Huyo kobaz Ipo siku atakuja na ile I'd yake ya ushoga πndugu zangu secretarybird ngara23 Seran The Worst na Mbaga Jr inashangaza sana ni namna gani akili ya mtu ilivyokuwa ni a mystery,.
Na zaid haswa kwa huyu kijana adriz ambaye ana uwez mkubwa wa kubadirika badirika kuwa mtu tofauti katika kila akaunti, kama hii ni yake, saa nane usiku atakuja na nyingine.
Kuna akaunti atajifanya mkristu, nyingine myahudi, nyingine demu, nyingine mwalimu wa saikolojia, kobaz, nyingine anakuwa kama kichaaa
Natumaini dosho12 ulishawahi kuona ile muvi ya SPLIT, basi yule jamaa ana ugonjwa kama adriz wa kubadirika badirika personallity bila yeye kujijua.
Dr am 4 real PhD na mzee wangu Mshana Jr counselling na tiba itamfaa huyu kijana kama mtakuwa willing kumsaidia
View attachment 3554503
Naomba ID yake akiwa demundugu zangu secretarybird ngara23 Seran The Worst na Mbaga Jr inashangaza sana ni namna gani akili ya mtu ilivyokuwa ni a mystery,.
Na zaid haswa kwa huyu kijana adriz ambaye ana uwez mkubwa wa kubadirika badirika kuwa mtu tofauti katika kila akaunti, kama hii ni yake, saa nane usiku atakuja na nyingine.
Kuna akaunti atajifanya mkristu, nyingine myahudi, nyingine demu, nyingine mwalimu wa saikolojia, kobaz, nyingine anakuwa kama kichaaa
Natumaini dosho12 ulishawahi kuona ile muvi ya SPLIT, basi yule jamaa ana ugonjwa kama adriz wa kubadirika badirika personallity bila yeye kujijua.
Dr am 4 real PhD na mzee wangu Mshana Jr counselling na tiba itamfaa huyu kijana kama mtakuwa willing kumsaidia
View attachment 3554503
Focus na mada hapa sio chitchat kujadili watu .ndugu zangu secretarybird ngara23 Seran The Worst na Mbaga Jr inashangaza sana ni namna gani akili ya mtu ilivyokuwa ni a mystery,.
Na zaid haswa kwa huyu kijana adriz ambaye ana uwez mkubwa wa kubadirika badirika kuwa mtu tofauti katika kila akaunti, kama hii ni yake, saa nane usiku atakuja na nyingine.
Kuna akaunti atajifanya mkristu, nyingine myahudi, nyingine demu, nyingine mwalimu wa saikolojia, kobaz, nyingine anakuwa kama kichaaa
Natumaini dosho12 ulishawahi kuona ile muvi ya SPLIT, basi yule jamaa ana ugonjwa kama adriz wa kubadirika badirika personallity bila yeye kujijua.
Dr am 4 real PhD na mzee wangu Mshana Jr counselling na tiba itamfaa huyu kijana kama mtakuwa willing kumsaidia
View attachment 3554503
secretarybird msaidie ile akauntiππNaomba ID yake akiwa demu
Nione cha kufanya
Naelewa ,sasa hivi ameiweka piniHuyo kobaz Ipo siku atakuja na ile I'd yake ya ushoga π
Huyu jamaa kwa kibadilika badilika kinyonga akasome na kuongeza elimu ya kubadilika.ndugu zangu secretarybird ngara23 Seran The Worst na Mbaga Jr inashangaza sana ni namna gani akili ya mtu ilivyokuwa ni a mystery,.
Na zaid haswa kwa huyu kijana adriz ambaye ana uwez mkubwa wa kubadirika badirika kuwa mtu tofauti katika kila akaunti, kama hii ni yake, saa nane usiku atakuja na nyingine.
Kuna akaunti atajifanya mkristu, nyingine myahudi, nyingine demu, nyingine mwalimu wa saikolojia, kobaz, nyingine anakuwa kama kichaaa
Natumaini dosho12 ulishawahi kuona ile muvi ya SPLIT, basi yule jamaa ana ugonjwa kama huu wa adriz wa kubadirika badirika personallity bila yeye kujijua.
Dr am 4 real PhD na mzee wangu Mshana Jr counselling na tiba itamfaa huyu kijana kama mtakuwa willing kumsaidia
View attachment 3554503
Hahaha, nitampatia PM.secretarybird msaidie ile akauntiππ
Ila hawakumteka na kumuua kama policcm wanavyofanya kwa wakosoaji?Jamaa alivyoanza kupiga spana tu polisi walimtoa nje kwa nguvu kubwa , inasikitisha sana hii hali
Acheni kuharibu uzi Wazee , Mimi nimeleta mada mazito halafu nyinyi mnaleta chitchat hapa .Naomba ID yake akiwa demu
Nione cha kufanya
Hahaha kagonjwa kajamaaHuyu jamaa kwa kibadilika badilika kinyonga akasome na kuongeza elimu ya kubadilika.
Ila namkubali hivyo hivyo π.
Noma kweliHahaha kagonjwa kajamaa
Wewe jamaa ubongo wako una uwezo mdogo sana wa kuchakata , kuchambua data na kufanya hitimisho sahihi halafu unajiita Jasusi , sasa Jasusi gani hata vitu vidogo vinakushinda kufanya prediction na kuAnticipate properly ?ndugu zangu secretarybird ngara23 Seran The Worst na Mbaga Jr inashangaza sana ni namna gani akili ya mtu ilivyokuwa ni a mystery,.
Na zaid haswa kwa huyu kijana adriz ambaye ana uwez mkubwa wa kubadirika badirika kuwa mtu tofauti katika kila akaunti, kama hii ni yake, saa nane usiku atakuja na nyingine.
Kuna akaunti atajifanya mkristu, nyingine myahudi, nyingine demu, nyingine mwalimu wa saikolojia, kobaz, nyingine anakuwa kama kichaaa
Natumaini dosho12 na Infropreneur mlishawahi kuona ile muvi ya SPLIT, basi yule jamaa ana ugonjwa kama huu wa adriz wa kubadirika badirika personallity bila yeye kujijua.
Kuna wakati nilidhania watu kama Chizi Maarifa na Poor Brain ni luzi kumbe ni watu wa masihara ila wako smart ila huyu dogo adriz hana masihara ni mgonjwa.
Dr am 4 real PhD na mzee wangu Mshana Jr counselling na tiba itamfaa huyu kijana kama mtakuwa willing kumsaidia
View attachment 3554503
πππ Kobazi ameshiba iftar mchanganyiko wa tende viazi mviringo viazi mbatata viazi vitamu mixer uji wa mtama sasa mwili umechanganyikiwa vimehamia kichwani akili yote haimo tena.ndugu zangu secretarybird ngara23 Seran The Worst na Mbaga Jr inashangaza sana ni namna gani akili ya mtu ilivyokuwa ni a mystery,.
Na zaid haswa kwa huyu kijana adriz ambaye ana uwez mkubwa wa kubadirika badirika kuwa mtu tofauti katika kila akaunti, kama hii ni yake, saa nane usiku atakuja na nyingine.
Kuna akaunti atajifanya mkristu, nyingine myahudi, nyingine demu, nyingine mwalimu wa saikolojia, kobaz, nyingine anakuwa kama kichaaa
Natumaini dosho12 na Infropreneur mlishawahi kuona ile muvi ya SPLIT, basi yule jamaa ana ugonjwa kama huu wa adriz wa kubadirika badirika personallity bila yeye kujijua.
Kuna wakati nilidhania watu kama Chizi Maarifa na Poor Brain ni luzi kumbe ni watu wa masihara ila wako smart ila huyu dogo adriz hana masihara ni mgonjwa.
Dr am 4 real PhD na mzee wangu Mshana Jr counselling na tiba itamfaa huyu kijana kama mtakuwa willing kumsaidia
View attachment 3554503
πππ secretarybird aisee nimecheka snaaaπππ Kobazi ameshiba iftar mchanganyiko wa tende viazi mviringo viazi mbatata viazi vitamu mixer uji wa mtama sasa mwili umechanganyikiwa vimehamia kichwani akili yote haimo tena.
Hii βοΈni maajabu. Ngoja nilale sasa.Wewe jamaa ubongo wako una uwezo mdogo sana wa kuchakata , kuchambua data na kufanya hitimisho sahihi halafu unajiita Jasusi , sasa Jasusi gani hata vitu vidogo vinakushinda kufanya prediction na kuAnticipate properly ?
Kipindi Cha nyuma uliwahi kunituhumu kuwa akaunti za Mafwele , Ghayo , busu la Kenge ni zangu . Sasa nakupa ushahidi huu kuwa Mimi sihusiki na hizo akaunti na mwenye akaunti kaweka wazi akaunti zake zote hizo kupitia gugo .
Hapo nionyeshe Adriz ipo wapi ? secretarybird jamaa wako kama Jasusi labda Jasusi wa punyetoh akiwa na vijana wakina Mbaga Jr
View attachment 3554511