Marekani huingiza 97bn kwa mwaka kupitia porn industry

Kwa wenzetu madada poa wapo kisheria na wanalipa kodi serikalini
 

Capitalistic economy hainaga maimani ya kukaririshwa na wakoloni bahati mbaya, as long as inaleta fweza haina tofauti na mwingulu anavopambana kukamua vijana kwnye betting bongolendi, tumia ulichonacho kuboresha maisha yako tu kijana! maisha mafupi sana haya, utashangaa upo jioni soon na hujafanya lolote kwa wanao na wanaokuhusu ukiwa bize kujudge taifa kubwa duniani!
 
Hivi kupendaa sex na kupenda porn ni kitu kimoja?
 
Land Cruiser nzuri ambazo zinatakiwa ziwabebe watalii zina kodi ya 79m wageni wanapelekwa porini kwa magari chakavu unategemea makusanyo kwenye hiyo sekta itakua? Makampuni machache ndio wana ujanja wa kuomba exemption tena watapata kirahisi kama upo mkono wa mtu..
 
mimi naweza kuwa moja wa director bora kabisa porn. Nimeshindwa kufika state, ila hata hapo tukipata mazingira bora naweza kuonesha kipaji.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…