Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
😅😅😅😅Alikua anachungulia nini mkuu?Kuna jamaa nilichungulia kwenye simu yake upande wa google alikuwa ana search x za vilema
Alafu nashangaa watu wanasema ngono sio dili 🤣🤣🤣🤣Dah kweli papuchi inalipa
Wakati wizara yetu ya maliasili na utalii kutangaza kuingiza 9bn mwaka jana kwenye sekta ya utalii, marekani wao waliingiza 97bn kupitia kiwanda Chao maarufu porn.
Inasemekana kwa seconde marekani huingiza 3075. 24 million kwa watazamaji wanaoangalia video online ambao wengi wao wana umri wa kuanzia miaka 11
Hiyo ndo marekani na na kaulimbiu yao ya IN GOD WE TRUST na GOD BLESS AMERICA. Kwao kila kitu ni fursa ikiwa kina manufaa kwenye uchumi wa nchi yao
nawajua wapuuzi hao 😂Kuna member humu wanakwambia sex is overrated
Oya vipiAiseeeeeee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Vile mchangia mapato wa marekani nikiangalia Uzi huu kwa hisia Kali View attachment 3384366