Marekani huingiza 97bn kwa mwaka kupitia porn industry

Maafisa utamu wanamaua yao hapa duniani otherwise watu tungekata moto
 
Halafu kwenye mabilion ya dola wachangiaji wakuu asilimia 70 ni Waafrika 🤣🤣🤣
 
Ni tasnia iliyosahaulika hasa nchi zetu za kusini mwa Sahara,

Tumebakia kukamuana damu Kwa tozo zisizo na kichwa wala miguu

Wakati tuna vijana wengi Sana jobless, wana Nguvu na vipaji lukuki Ila wanaishia kujichua na kukalia mirinda nyeusi mabwenini
 
Alafu nashangaa watu wanasema ngono sio dili 🤣🤣🤣🤣
Alafu hizo hela za porno ndio zinajenga vyoo vya watoto wetu mashuleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…