lugoda12
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 276
- 574
Hivi USA wanapataga wapi Taarifa Muhimu za intelligence kabla ya Jambo kutokea?
1. Juzi walionya kuwa Iran Ina mpango wa kushambulia Israel ndani ya Masaa mawili yajayo na ikawa hivo
2. Mwaka 2021 December na 2022 January walionya kwamba Urusi Ana mpango wa kumshambulia Ukraine ! Ambapo Urusi Mwanzoni walikanusha ila baada ya week Tatu wakaanza mashambulizi
3. Mwaka 2019 au 20 waliwatonya Watu wa Ethiopia kuwa wawe makin na safari za anga kuna ajali inaweza tokea na ikatokea
Yaan ni Mengi uwa najiuliza sana? 🤔