Marekani huwa wanapata wapi taarifa muhimu kabla ya jambo fulani kutokea?

USA wame-invest rasilimali nyingi sana intelligence. Hakuna mawasiliano wasiyosikiliza, labda nchi yako iwe iko mbali sana kwenye technology, ila ukiwa wa kawaida, uwe na uhakika chochote unachoongea wanakijua.
 
Cha ajabuni kwamba walishindwa kuitambua September eleven. Au ndio walihusika wenyewe kama inavyosadikika? Some time anyetoa tarifa ndio muhusika wa kutenda jambo hilo.
Kilichotokea kwenye Sep 11 ni matokeo ya information overload na kukosekana kwa ushirikiano wa vyombo. Wale jamaa wote waliohusika walikuwa wanafuatiliwa, sema vyombo vilizingua

9-11 Commission report
 
Hivi USA wanapataga wapi Taarifa Muhimu za intelligence kabla ya Jambo kutokea?

1. Juzi walionya kuwa Iran Ina mpango wa kushambulia Israel ndani ya Masaa mawili yajayo na ikawa hivo

2. Mwaka 2021 December na 2022 January walionya kwamba Urusi Ana mpango wa kumshambulia Ukraine ! Ambapo Urusi Mwanzoni walikanusha ila baada ya week Tatu wakaanza mashambulizi

3. Mwaka 2019 au 20 waliwatonya Watu wa Ethiopia kuwa wawe makin na safari za anga kuna ajali inaweza tokea na ikatokea

Yaan ni Mengi uwa najiuliza sana? 🤔

Intelligence yao ni ya kweli. Intelijensia ya Polisi wa Tanzania wasiojua hata GPO yao wenyewe eti intelijensia yao imeishia CHADEMA tu. Mara MBOWE Ana mfuko wa shangazi kaja anaufanyia ugaidi, yaani ushuzi kabisa polisisiemu
 
Hivi USA wanapataga wapi Taarifa Muhimu za intelligence kabla ya Jambo kutokea?

1. Juzi walionya kuwa Iran Ina mpango wa kushambulia Israel ndani ya Masaa mawili yajayo na ikawa hivo

2. Mwaka 2021 December na 2022 January walionya kwamba Urusi Ana mpango wa kumshambulia Ukraine ! Ambapo Urusi Mwanzoni walikanusha ila baada ya week Tatu wakaanza mashambulizi

3. Mwaka 2019 au 20 waliwatonya Watu wa Ethiopia kuwa wawe makin na safari za anga kuna ajali inaweza tokea na ikatokea

Yaan ni Mengi uwa najiuliza sana? 🤔

Wanabahatisha tu.., iyo kwamba leo Iran itaishambulia Israel walishatangaza uko nyuma mara kibao na ikawa Iran hawakushambulia lolote. Sema siku nyengine Iran wenyewe wanatangaza kuwambia ata majirani zao kwamba kesho tuna jambo letu tegeni masikio.

Kwa mfano mara hii Iran waliposhambulia Israel wale raia wa Palestine pale Gaza walipata habari kutokea asubuhi kwamba leo usiku adui yenu atashughulikiwa hivyo msikae mbali mushangile na hata Iran wenyewe raia na wananchi walisherehekea kwa fireworks miji mingi Iran.

Na sio kwa Iran tu, mataifa mengi ama taasisi/makundi yanayojiamini husema leo ama kesho tutakuwa na shughuli yetu ama baada ya tukio huwa wanakiri ni sisi tuliofanya.

Hao US kama vidume mbona hawakuwatonya Israel kwamba Hamas wanakuja kukuvamieni na kukutieni adabu wamechoka mateso na kuteka watu wenu mbona hawakupata izo information? Wanabahatisha tu mkuu hakuna lolote.
 
CIA is the deep state is every where in this world!!

Kila pahali, kila nchi wapo, kila jeshi wamo, kila ofisi ya Rais wapo..

Kila nchi wamo kiufupi hawa jamaa ni ngumu kuwadhibiti mtandao wao na ma agent wao wametapakaa dunia nzima!!
Ni uongo hakuna lolote, Iran wenyewe huwa wanatoa tu izo habari mbona Hamas walipovamia Israel na kuchukua mateka na kuwapa vipondo mbona hakuna CIA aliyejua, wale Mayahudi walikuwa kwenye mapombe yao ata habari hawana mbona CIA hawakuwambia? Hau US mara kadhaa washasema kesho Iran itawashambulia mbona haikutokea? Wanabahatisha tuu
 
Raisi wa marekani mara aingiapo katika ofisi yake kitu cha kwanza kupewa ni black book,hicho kitabu kina taarifa zote muhimu za ulimwengu mzima
 
Cha ajabuni kwamba walishindwa kuitambua September eleven. Au ndio walihusika wenyewe kama inavyosadikika? Some time anyetoa tarifa ndio muhusika wa kutenda jambo hilo.
Kwahyo marekani ndie aliepanga kuishambulia Israel kupitia Iran sio
 
Hivi USA wanapataga wapi Taarifa Muhimu za intelligence kabla ya Jambo kutokea?

1. Juzi walionya kuwa Iran Ina mpango wa kushambulia Israel ndani ya Masaa mawili yajayo na ikawa hivo

2. Mwaka 2021 December na 2022 January walionya kwamba Urusi Ana mpango wa kumshambulia Ukraine ! Ambapo Urusi Mwanzoni walikanusha ila baada ya week Tatu wakaanza mashambulizi

3. Mwaka 2019 au 20 waliwatonya Watu wa Ethiopia kuwa wawe makin na safari za anga kuna ajali inaweza tokea na ikatokea

Yaan ni Mengi uwa najiuliza sana? 🤔

hawa ni ma ILLUMINATI waabudu shetani, shetani alitupwa huku duniani, wao wanaona ya hapa duniani mno, ndio maana moja ya nembo zao huwa ni jicho, washenzi washenzi hawa, ibada zao za kafara
 
Risasi ya sikio ya trump not dected before?
USA wame-invest rasilimali nyingi sana intelligence. Hakuna mawasiliano wasiyosikiliza, labda nchi yako iwe iko mbali sana kwenye technology, ila ukiwa wa kawaida, uwe na uhakika chochote unachoongea wanakijua.
[/QUOTE
 
Kubwa sana ni satellites ambazo wanamonitor 24/7 in real time. Hivyo a small change wanaifuatilia in detail.

Pili wakishaona wanawatuma watu wao on ground
 
CIA is the deep state is every where in this world!!

Kila pahali, kila nchi wapo, kila jeshi wamo, kila ofisi ya Rais wapo..

Kila nchi wamo kiufupi hawa jamaa ni ngumu kuwadhibiti mtandao wao na ma agent wao wametapakaa dunia nzima!!
na wanaongozwa na kuzimu kupitia elites/Illuminati walioko duniani

JESUS IS CHRIST
 
Achana nao,ila Wana network kubwa Sana duniani ndio maana wanaomwelewa Mmarekani wanajitahidi sana kujitegemea(Kuwa na maisha ya kivyao vyao)
 
Hivi USA wanapataga wapi Taarifa Muhimu za intelligence kabla ya Jambo kutokea?

1. Juzi walionya kuwa Iran Ina mpango wa kushambulia Israel ndani ya Masaa mawili yajayo na ikawa hivo

2. Mwaka 2021 December na 2022 January walionya kwamba Urusi Ana mpango wa kumshambulia Ukraine ! Ambapo Urusi Mwanzoni walikanusha ila baada ya week Tatu wakaanza mashambulizi

3. Mwaka 2019 au 20 waliwatonya Watu wa Ethiopia kuwa wawe makin na safari za anga kuna ajali inaweza tokea na ikatokea

Yaan ni Mengi uwa najiuliza sana? 🤔

Urusi alimwambia china,china akayafikisha,lakini pia urusi alikua akipanga silaha zake belarus tayari kibamia,so it's easy kujua ukiwa na satellite na spies on the ground, Iran ana spies na satellite pia,al shabaab wale ni watu wake
 
CIA is the deep state is every where in this world!!

Kila pahali, kila nchi wapo, kila jeshi wamo, kila ofisi ya Rais wapo..

Kila nchi wamo kiufupi hawa jamaa ni ngumu kuwadhibiti mtandao wao na ma agent wao wametapakaa dunia nzima!!
Walikuwa wapi hao Ma agent kabla hamas hawajashambulia israel na kuteka mateka kibao?
 
Back
Top Bottom