Marekani huwa wanapata wapi taarifa muhimu kabla ya jambo fulani kutokea?

Marekani huwa wanapata wapi taarifa muhimu kabla ya jambo fulani kutokea?

Marekani intelligence Yao niyahali ya juu. Wanapenyezewa taarifa kila Kona. Kazi Yao kubwa nikuhakikisha karibu kila familia Kuna mtu wao Tena kwa Siri kubwa
Sasa kama unatumia Electronics, computer, android,Windows[ 🪟],iOS na software nyingine kwa nini wasijue na hakuna taifa lisilotumia ivyo vitu na karibia asilimia 99.9% vinatoka kwao USA 🇺🇸 kwa iyo apo unamtumia mmarekani na ana aki zote za kujua
 
Cha ajabuni kwamba walishindwa kuitambua September eleven. Au ndio walihusika wenyewe kama inavyosadikika? Some time anyetoa tarifa ndio muhusika wa kutenda jambo hilo.
Labda ndio ule usemi unaosema mganga haijigangi.
 
Kubwa sana ni satellites ambazo wanamonitor 24/7 in real time. Hivyo a small change wanaifuatilia in detail.

Pili wakishaona wanawatuma watu wao on ground
Jasusi Kama jasusi.
 
Hivi USA wanapataga wapi Taarifa Muhimu za intelligence kabla ya Jambo kutokea?

1. Juzi walionya kuwa Iran Ina mpango wa kushambulia Israel ndani ya Masaa mawili yajayo na ikawa hivo

2. Mwaka 2021 December na 2022 January walionya kwamba Urusi Ana mpango wa kumshambulia Ukraine ! Ambapo Urusi Mwanzoni walikanusha ila baada ya week Tatu wakaanza mashambulizi

3. Mwaka 2019 au 20 waliwatonya Watu wa Ethiopia kuwa wawe makin na safari za anga kuna ajali inaweza tokea na ikatokea

Yaan ni Mengi uwa najiuliza sana? 🤔

Mbona hawakujua kuwa shambulizi la Nov 11.
Pia mbona hawakuwa na taarifa kuwa Oklahoma City Federal building Apr 1995. Mfano ni mingi sana, Kuuwawa kwa Kennedy, Martin Luther King, Kupigwa sikio Trump nk nk nk
 
Nafikiri jamaa wana tech za hali ya juu sana, pili huwa wanatenga bajeti kubwa saaaana ya ulinzi, yamkini wakihitaji kumnunua mtu yeyote yule hawamkosi.
 
Hivi USA wanapataga wapi Taarifa Muhimu za intelligence kabla ya Jambo kutokea?

1. Juzi walionya kuwa Iran Ina mpango wa kushambulia Israel ndani ya Masaa mawili yajayo na ikawa hivo

2. Mwaka 2021 December na 2022 January walionya kwamba Urusi Ana mpango wa kumshambulia Ukraine ! Ambapo Urusi Mwanzoni walikanusha ila baada ya week Tatu wakaanza mashambulizi

3. Mwaka 2019 au 20 waliwatonya Watu wa Ethiopia kuwa wawe makin na safari za anga kuna ajali inaweza tokea na ikatokea

Yaan ni Mengi uwa najiuliza sana? 🤔

Pesa yote ya walipa Kodi inaishia kwenye ujasusi na vita. Wamarekani wanasota, nyumba, afya, madeni ni changamoto kubwa.
 
Russia wazugaji tu juz walisema Israel itashambulia Iran lakin hola
 
Back
Top Bottom