Marekani: Ikulu yaunga mkono Muswada wa kupiga marufuku TikTok

Marekani: Ikulu yaunga mkono Muswada wa kupiga marufuku TikTok

Hatuna cha kujipanga

Turudi kwenye mada.

Wazungu wanaona tiktok inakuja kasi na wayu wanaipenda yaani ni endless video player program unatiririka tu

Kuhusu ulinzi wa data. Hakuna platform isiyo iba data za wateja facebook instagram n.k wote ni walewale tu
 
Ngoja kwanza watuchunguze kama tunakopesheka ili tuongeze deni uzuri 'deni halifungi' 🤑🤑🤑
 
Hapo ni Vita ya kiuchumi, hakuna cha Algorithm wala nini.., mbona algorithm za kwao za Instagram haziingiliwi wanaachwa tu?
 
Licha ya mara kadhaa kudaiwa kuwa ni kitisho kwa usalama wa mataifa yao, ni kwa nini Marekani na Western countries wanashindwa kupiga ban mtandao maarufu wa tiktok wa China wakati ya kwao kama instagram, facebook, whatsapp, n.k imepigwa ban katika nchi hiyo??
 
IMG_5241.jpg
 
Nimekwambia sijui vpn? Umekielewa nilichoandika??
Mbona swali lako jibu lako lipo apa sema ulikua unataka maelezo ili uelewe vizuri Kwa kukupa msada ni kwamba wasap,insta,China Bado zinatumika hata kama zimepigwa bani Kwa maana hiyo USA na mashoga zake Ata wakipiga Ban Tik tok Bado Wanachi wataendelea Kutumia jiulize nchi Yako pilau limepigwa ban ila Kila siku watu wanaendelea kupekua vizuri tu
 
sijasema siijui vpn wala wachina hawatumii mitandao ya west. Nilichouliza kwa nini tiktok haijapigwa ban us licha ya western social media kupigwa ban china?
 
Back
Top Bottom