State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
Hizo ni stori tu za MSM.. 😂Urusi inayotumia hadi wanajeshi wa Korea Kaskazini ya Kim Kiduku na kuchukua silaha kutoka China??
Urusi inayotumia hadi wanajeshi wa Korea Kaskazini ya Kim Kiduku na kuchukua silaha kutoka China??
Dunia ya balance of power ya USSR babu zako walikuwa wanavaa suruali zenye matobo na viraka kwenye makalio, ilikuwa dunia ya hovyo sana ndio maana USSR ilianguka na Western order ikachukua ushawishi wa dunia.
Dunia yenye ushawishi mkubwa wa China itakuwa mbaya sana pia.
Acha wasambaratika ndo ahueni ya dunia wameweka mifumo mingi sana ya kinyonyaji dunianHuwa nashangaa sana eti taifa fulani likuwa adui ya Marekani na wao wanakuwa adui wa taifa hilo na ikiwa ni rafiki nao wanamfanya rafiki. Ujinga sana
Unanyonywa na Wachina na Waarabu.Acha wasambaratika ndo ahueni ya dunia wameweka mifumo mingi sana ya kinyonyaji dunian
Moral support gani kutoka kwa USSR iliyokuwa inazishikilia nchi nyingi mateka katika umoja huo?Wakati wa USSR wasomi wengi kutoka nchi za 3rd world countries walipata scholarship ya kwenda kusoma katika mataifa ya Soviet
USSR ilisupport kuondoa ukoloni kwa mataifa mengi ya Afrika na maeneo mengine duniani kwa moral, material na diplomatic support
USSR ilitoa msaada wa kiuchumi na financial aid, ikawa alternative kwa matifa mengine ambayo hayakuunga mkono sera za capitalism za nchi za Magharibi
Dunia yenye ushawishi mkubwa wa China itakuwa mbaya sana pia.
Moral support gani kutoka kwa USSR iliyokuwa inazishikilia nchi nyingi mateka katika umoja huo?
Watu gani wa maana waliosoma USSR unaowajua?
Nakubaliana nawe mkuu kusambaratika kwao ni ahueni kwa dunia. Na hata ushawishi wao ukipungua sana pia itakuwa ahueniAcha wasambaratika ndo ahueni ya dunia wameweka mifumo mingi sana ya kinyonyaji dunian
China imesababisha sekta ya viwanda nchi za Africa kufa kabisa, leo hii hadi makabati, viti na meza vinatoka China!Tofauti ya China na Marekani ni kubwa sana inapohusu ushawishi.
China imefanya leo watu wengi waweze kuafford kununua bidhaa kwa gharama nafuu hasa kwa nchi masikini. Leo ni wachache sana wangeweza kuafford kununua bidhaa za Magharibi.
Acha projo zako, China haina utaratibu wa kutoa misaada, inatoa mikopo tu na usipolipa inakukamua mpaka utapike pesa yao.Tofauti ya China na Marekani ni kubwa sana inapohusu ushawishi.
Inapohusu misaada katika mfumo wa capital kwa sasa China ndio inaongoza kuizidi Marekani na nchi zingine kwa pamoja.
Mao Zedong mwanzilishi wa Jamuhuri ya China aliua raia wake wachina zaidi ya milioni 40.Tofauti ya China na Marekani ni kubwa sana inapohusu ushawishi.
Kwa kumalizia Marekani ni warmonger, nitajie taifa ambao China imewahi kulivamia kijeshi na kivita. Marekani imeua mamilioni ya watu wasio na hatia na bado wanaendelea kuua.
China imesababisha sekta ya viwanda nchi za Africa kufa kabisa, leo hii hadi makabati, viti na meza vinatoka China!
Hatuna viwanda vya nguo, nguo karibia zote zinatoka China.
Bila US hakuna NATO!We are strong together than alone.
Ukraine inahitaji support ya kila aina kutoka Nchi wananchama wa NATO, kama Marekani imekataa kwa sababu zake za siasa za ndani, basi wanachama waliobaki wajipange au waunde ummoja mpya na wamkaribishe mwenzao wakimuacha wanamkaanga.
Acha ajitoe akili lakini iko siku atatamani kushirikiana na yeyote hata Somalia na hatopata. Inaweza kuwa dua la kuku.
Acha projo zako, China haina utaratibu wa kutoa misaada, inatoa mikopo tu na usipolipa inakukamua mpaka utapike pesa yao.
Mao Zedong mwanzilishi wa Jamuhuri ya China aliua raia wake wachina zaidi ya milioni 40.
Mao Zedong aliua raia wake wachina wangapi kulingana na taarifa za China??Hizo ni propaganda za nchi za Magharibi
"When I say the United States is evil, I mean its ruling class. The American people are pretty good. Many of them haven't awakened yet, but they will."
–Mao Zedong
Mao Zedong aliua raia wake wachina wangapi kulingana na taarifa za China??
You're a dunce.Hajawahi kuua raia wa China, hizo ni cheap propaganda za Westerners
Na yote hayo yalikuja baada ya China kuisupport North Korea dhidi ya Marekani kwenye Korean War
You're ignorant and loud, pathetic!You're a dunce.