Marekani imeonyesha kuwa si mshirika wa kutegemewa katika masuala ya kimataifa. Ukraine na Ulaya wamejifunza kwa uchungu sana, Marekani yawakataa

Marekani imeonyesha kuwa si mshirika wa kutegemewa katika masuala ya kimataifa. Ukraine na Ulaya wamejifunza kwa uchungu sana, Marekani yawakataa

Wabongo bwana mnawaza misaada Tu. Kila mtu/nchi mnataka iwape misaada.

Akili ya kujitegemea itatoka wapi ikiwa kila mara mnawaza misaada tu.
Akili hii imeanzia ngazi za familia. Mtu akitoboa ndugu zake walioko chini wote wanahisi ni haki yao kusaidiwa maisha. Mtu akiamua kuwazimia fegi wanaanza kumuona ndugu hafai ana maringo mara anajiona. Hiki kimelea kipo kwenye DNA mpaka za viongozi wa mataifa ya Africa
 
Back
Top Bottom