Akili hii imeanzia ngazi za familia. Mtu akitoboa ndugu zake walioko chini wote wanahisi ni haki yao kusaidiwa maisha. Mtu akiamua kuwazimia fegi wanaanza kumuona ndugu hafai ana maringo mara anajiona. Hiki kimelea kipo kwenye DNA mpaka za viongozi wa mataifa ya Africa