utala utala TU
Senior Member
- Aug 13, 2024
- 187
- 275
Dah Atari sana ,ila uzuri watawala wa sasa wa USA ni waropokaji sana,tutajua ukweli wote acha tuoneUlijua ni propaganda? Ile vita imefunua vitu vingi juu ya umoja wa ulaya na russia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah Atari sana ,ila uzuri watawala wa sasa wa USA ni waropokaji sana,tutajua ukweli wote acha tuoneUlijua ni propaganda? Ile vita imefunua vitu vingi juu ya umoja wa ulaya na russia
Kabisaaa, tutajua mengiDah Atari sana ,ila uzuri watawala wa sasa wa USA ni waropokaji sana,tutajua ukweli wote acha tuone
Usiwe na wasiwasi wameshaanzwa kutengwa na US wenyeweNatamani dunia nzima imtenge au uachane nao USA.
Nionyeshe wanajeshi wa NATO au US waliopigana upande wa Ukraine. Usinionyeshe mamlukiHalafu hapa watu walikuwa wanasema Ukraine anapigana peke yake
Baada ya NATO kushindwa mbele ya URUSI ndo wanakili hadharani kwamba walikuwa Ukraine waliingia kwa kificho wakiwa hai sasa wanaondoka hadharani wakiwa marehemu! Hiyo ndiyo urusi ninayoijua
Ni vile tunaishia kusimuliwa tu izi habari akuna aliyepo eneo la tukio akashuhudia mwenyewe yanayoendelea,lakini usikute hata Aya madai ya urusi kuweza kuteka asilimia 20 tu ya ardhi ya ukreni uwenda nao uwongo tu
Mwaka 1968 aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje ya Marekani Henry Kissinger alisema:
"Inaweza kuwa hatari kuwa adui wa Marekani, lakini kuwa rafiki wa Marekani ni majanga."
– Henry Kissinger
Na Marekani imethibitisha kuwa Kissinger alikuwa sahihi. Mara kwa mara, Marekani imeonyesha kuwa si mshirika wa kutegemewa katika masuala ya kimataifa. Zamu hii Ukraine na Ulaya wamejifunza.
Akizungumza na washirika wa NATO mjini Brussel, Belgium, Waziri wa Ulinzi wa Marekani alitoa matamshi ambayo naamini mpaka sasa Zelensky na viongozi wa Ulaya hawaamini macho yao.
"Hakuna uanachama wa NATO kwa Ukraine"
"Hakuna vikosi vya Marekani kwenda nchini Ukraine"
"Hakuna askari wa NATO kwenda nchini Ukraine. Lakini nchi za Ulaya zinaweza kutuma wanajeshi wao wenyewe.”
"Lazima tuanze kwa kutambua kwamba kurudishwa kwa mipaka ya Ukraine ya kabla ya 2014 ni lengo lisilowezekana, kufuatia lengo hili lisilowezekana kutaongeza muda wa vita na kusababisha mateso zaidi."
"Wanajeshi wowote wa Uingereza au Ulaya ambao walitumwa nchini Ukraine hawatakuwa chini ya misheni ya NATO au na dhamana ya kifungu cha 5 cha muungano huo, watategemea usaidizi kutoka kwa mataifa yanayoshiriki."
– Pete Hegseth (Waziri wa ulinzi wa Marekani)
Na kama haitoshi naye Trump alifanya mazungumzo na Putin kwa saa 1:30 wakiafikiana kuwa watakutana Saudi Arabia mada kuu itakuwa suala la vita ya Ukraine.
Lakini wakati huohuo Trump alitumia dakika 10 tu kuongea kwenye simu na Zelensky.
Ukraine imepoteza mamia ya maelfu ya askari, mamilioni ya Waukraine wamekimbia nchi yao, wamepoteza karibu 20% ya ardhi yao na uchumi na miundombinu mingi kuharibiwa na Urusi.
Natamani dunia nzima imtenge au uachane nao USA.
Ni wakati Ulaya ikajitathimini
Noma sana!Ni wakati wa nchi za Ulaya kuwa na ushirikiano na China na Russia dunia ya sasa inahitaji win-win cooperation sio sera za Marekani za win-lose cooperation
Tatizo la nchi za Ulaya zimekubali kuwa U.S vassal states, wamekubali internal na foreign policies zao zitegemee sera za Marekani wanaumia sana, ndicho anachopitia Japan, South Korea, Canada, Australia na U.S vassal states nyingine.
Leo uchumi wa Ujerumani unaotegemea viwanda, uzalishaji viwandani umeporomoka kwa sababu ya kupanda kwa gharama za nishati ambazo awali walikuwa wananunua Urusi kwa bei rahisi, Marekani akalipua Nord Stream pipeline ili awauzie LNG kwa bei kubwa
Mafuta wanauziwa na India ambayo nayo inanunua Urusi na kuwauzia kama third party kwa gharama kubwa
Na bado Marekani inawatisha kwa kuwapandishia tariffs bidhaa zao.
Mchina aliona mbali kafanya juu chini kuhakikisha kuwa soko lake kubwa la bidhaa lisitegemee Marekani, kwa sasa soko kubwa la China ni Global South countries.
Ukiwa trade partner mkubwa wa Marekani lazima akutese sana kama Canada, Mexico na Japan zinavyoteswa na tariffs.
Siku hizi Mchina anafanya tit for tat Marekani akitia tariffs na yeye anampandishia tariffs kwa sababu soko la Marekani sio kipaumbele kwake.
Marekani ni kwenda naye kibabe kama Urusi na China zinavyofanya
hv unajuwa hali ya Urusi sas hv ? Urusi wamefikia hatua ya kusema liwalo na liwe ika sio kwamba ukimya wao unamaanisha wapo vzr , Trump katumia busara , Hii vita imempa fursa nying China na lzn wafanye maamuz kama haya ili China asiwapige gap kubwa , kipind cha hii vita ndo China kapata ushawishi mkubwa baran kwake Asia ambako wengi walikiwa hawamtaki pia Ndo kipind China kawatoa rasmi wazungu huku Afrika , pia ndo kipind China kaanza tawala soko la Ulaya , pia ndo kipind China amepanya option ya kuiangusha USA kwa kuitumia Urusi , so ni lzm Trump arud nyuma aweke sw ila bila uwepo wa China kama superpower bas USA angemvagaa Urusi na kumdunda vzr maana hata kama angerud nyuma bas bado angekuwa kileleni maana kutoka yeye hadi mtu wa tatu anamzid krb mara 2 ila huyu wa pili yake yupo makalion , USA akidelay kdg China anakaa Mbele zaid , so uwepo wa China km mshindani wa USA ndo umefanya Trump afanye hayo maamuzWamempiga nyuki busu wakajua maumivu yake alafu wewe unashauri waendelee na huu mchezo?
Tangu 2014 nawaambia wajinga kama wewe kuingia vitani na Urusi ni sawa na kudumbukia kwenye tanuru la kuyeyusha vyuma.
Falme nyingi zimeijaribu urusi zikapotea usije kufikiri marekani ni mjinga
upo sahihi kbs lkn pia sio sahihi kuitenga USA , ni vyema Ulaya hata na Afrika pia tukawa na, urafik na kila upande bila kuchagua maana sio vyote utavipata kwa mataifa ya masharikiNi wakati wa nchi za Ulaya kuwa na ushirikiano na China na Russia dunia ya sasa inahitaji win-win cooperation sio sera za Marekani za win-lose cooperation
Tatizo la nchi za Ulaya zimekubali kuwa U.S vassal states, wamekubali internal na foreign policies zao zitegemee sera za Marekani wanaumia sana, ndicho anachopitia Japan, South Korea, Canada, Australia na U.S vassal states nyingine.
Leo uchumi wa Ujerumani unaotegemea viwanda, uzalishaji viwandani umeporomoka kwa sababu ya kupanda kwa gharama za nishati ambazo awali walikuwa wananunua Urusi kwa bei rahisi, Marekani akalipua Nord Stream pipeline ili awauzie LNG kwa bei kubwa
Mafuta wanauziwa na India ambayo nayo inanunua Urusi na kuwauzia kama third party kwa gharama kubwa
Na bado Marekani inawatisha kwa kuwapandishia tariffs bidhaa zao.
Mchina aliona mbali kafanya juu chini kuhakikisha kuwa soko lake kubwa la bidhaa lisitegemee Marekani, kwa sasa soko kubwa la China ni Global South countries.
Ukiwa trade partner mkubwa wa Marekani lazima akutese sana kama Canada, Mexico na Japan zinavyoteswa na tariffs.
Siku hizi Mchina anafanya tit for tat Marekani akitia tariffs na yeye anampandishia tariffs kwa sababu soko la Marekani sio kipaumbele kwake.
Marekani ni kwenda naye kibabe kama Urusi na China zinavyofanya
Trump ni mwanauchumi na sio mtapanya pesa kwenye vitaKwa sasa taifa pekee ambalo Marekani analihofia duniani ni China.
"Pia tunakabiliwa na mshindani China anayeweza kutishia Marekani na maslahi ya Marekani katika eneo la Indo-Pacific. Marekani imekuwa ikibadilisha vipaumbele vyake vya kijeshi kwa kulinda nchi yake na kuizuia China."
– Pete Hegseth (Waziri wa ulinzi wa Marekani)
Hapo kwa China wasipoteze muda na pesa Trump mwenyewe anajua hilo alijaribu 2018-2021 akafeli vibaya mno.
Hivi mbona sijawahi kusikia shirika la misaada la Urusi? Lakini pia mbona sijawahi kusikia shirika la misaada la China? Walau Japan kuna JICA na Sweden kuna SIDA, ila hao giants Urusi na China wao ni maneno tu, misaada aaaah!Mwaka 1968 aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje ya Marekani Henry Kissinger alisema:
"Inaweza kuwa hatari kuwa adui wa Marekani, lakini kuwa rafiki wa Marekani ni majanga."
– Henry Kissinger
Na Marekani imethibitisha kuwa Kissinger alikuwa sahihi. Mara kwa mara, Marekani imeonyesha kuwa si mshirika wa kutegemewa katika masuala ya kimataifa. Zamu hii Ukraine na Ulaya wamejifunza.
Akizungumza na washirika wa NATO mjini Brussel, Belgium, Waziri wa Ulinzi wa Marekani alitoa matamshi ambayo naamini mpaka sasa Zelensky na viongozi wa Ulaya hawaamini macho yao.
"Hakuna uanachama wa NATO kwa Ukraine"
"Hakuna vikosi vya Marekani kwenda nchini Ukraine"
"Hakuna askari wa NATO kwenda nchini Ukraine. Lakini nchi za Ulaya zinaweza kutuma wanajeshi wao wenyewe.”
"Lazima tuanze kwa kutambua kwamba kurudishwa kwa mipaka ya Ukraine ya kabla ya 2014 ni lengo lisilowezekana, kufuatia lengo hili lisilowezekana kutaongeza muda wa vita na kusababisha mateso zaidi."
"Wanajeshi wowote wa Uingereza au Ulaya ambao walitumwa nchini Ukraine hawatakuwa chini ya misheni ya NATO au na dhamana ya kifungu cha 5 cha muungano huo, watategemea usaidizi kutoka kwa mataifa yanayoshiriki."
– Pete Hegseth (Waziri wa ulinzi wa Marekani)
Na kama haitoshi naye Trump alifanya mazungumzo na Putin kwa saa 1:30 wakiafikiana kuwa watakutana Saudi Arabia mada kuu itakuwa suala la vita ya Ukraine.
Lakini wakati huohuo Trump alitumia dakika 10 tu kuongea kwenye simu na Zelensky.
Ukraine imepoteza mamia ya maelfu ya askari, mamilioni ya Waukraine wamekimbia nchi yao, wamepoteza karibu 20% ya ardhi yao na uchumi na miundombinu mingi kuharibiwa na Urusi.
Hivi ww jamaa unajua unakiandika kwanza au unaropoka tu?hv unajuwa hali ya Urusi sas hv ? Urusi wamefikia hatua ya kusema liwalo na liwe ika sio kwamba ukimya wao unamaanisha wapo vzr , Trump katumia busara , Hii vita imempa fursa nying China na lzn wafanye maamuz kama haya ili China asiwapige gap kubwa , kipind cha hii vita ndo China kapata ushawishi mkubwa baran kwake Asia ambako wengi walikiwa hawamtaki pia Ndo kipind China kawatoa rasmi wazungu huku Afrika , pia ndo kipind China kaanza tawala soko la Ulaya , pia ndo kipind China amepanya option ya kuiangusha USA kwa kuitumia Urusi , so ni lzm Trump arud nyuma aweke sw ila bila uwepo wa China kama superpower bas USA angemvagaa Urusi na kumdunda vzr maana hata kama angerud nyuma bas bado angekuwa kileleni maana kutoka yeye hadi mtu wa tatu anamzid krb mara 2 ila huyu wa pili yake yupo makalion , USA akidelay kdg China anakaa Mbele zaid , so uwepo wa China km mshindani wa USA ndo umefanya Trump afanye hayo maamuz
😂😂Ngoja tuoneKabisaaa, tutajua mengi
Apana,hebu niabalisheMambo yako wazi wakiwa Brussels ulikuwa ni mkutano ambao waandishi wa habari walikuwepo.
Unajua ni miji mingapi ya Ukraine mpaka sasa iko chini ya Urusi?
Misaada ya Nini wewe,nyie ccm bnHivi mbona sijawahi kusikia shirika la misaada la Urusi? Lakini pia mbona sijawahi kusikia shirika la misaada la China? Walau Japan kuna JICA na Sweden kuna SIDA, ila hao giants Urusi na China wao ni maneno tu, misaada aaaah!