Wewe toa ushamba wako.Pamoja na USA kuwaeleza Kenya kwamba wao ndio washirika Wakuu wa USA kwenye usalama lakini linapokuja Suala la Mshirika wa Maendeleo wa USA ni Tanzania.
Tanzania ni muhimu zaidi Kwa USA kuliko huyo Kenya.
Nimejaribu kufuatilia nini Kesha wamepata kutokana na ziara hii ya Ruto nimekuota yafuatayo.
Msaada wa kipesa kwenye sekta za porojo yaani sekta za Huduma za jamii ni kama ifuatavyo;
1. Kshs.10.454bln(Approximately 199Tzs bln)
2.Msaada wa kujengewa Airfield ya Manda Bay-Lamu na kuwa uwanja mkubwa wa ndege (urefu futi 10,000)
3.Msaada wa kutoa mafunzo ya Kijeshi kwenye Vyuo vyao
4.Msaada wa kupatiwa helikopta 8 za Kijeshi
5.Kenya kununua Magari 150(Armoured Vehicles)-Hapa lazima wapigwe Cha Juu.
6.Kenya kuanzisha program ya ukimwi/HIV na malaria kama ambavyo Tanzania inayo ,hapa Kuna Bilioni 900 za Kenya
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1793638801241464855?t=ZPctOIx0aChdrvPagjEl3Q&s=19
7.Mkataba wa Ujenzi wa Barabara njia 4-6 kutoka Nairobi-Mombasa ,Trilioni 9.(Huu ndio mradi wa maana ambao nao ni Mkopo)
View: https://twitter.com/BloombergAfrica/status/1793574750469382173?t=DauL1_tAZzXmV7-mc5l8rw&s=19
Wakati Kwa Tanzania Samia alipata mualiko na VP Kamala na pia Kamala akaja Tanzania.
-Tulirejeshwa kwenye mradi wa MCC ambapo Kuna Dola mil.400 za Tanznaia hiyo ni Trilioni 1.
-Marekani itajengwa kiwanda Cha Betri Kahama ,hakuna kuuza Madini yetu kienyeji zaidi ya Bilioni 400
-Miradi mingine ya Maendeleo Kupitia USA Aid Iko kedekede ikiwepo Power Africa,feed the future nk.
Lakini ikumbukwe kabla ya Magufuli kuvurunda,Tanzania ndio Nchi ilikuwa inapata pesa nyingi Kupitia MCCl Kila mwaka kutoka USA kushinda Nchi zote za Afrika.
Pia Tanznaia ndio Nchi ambayo Marekani imetumipa pesa nyingi zaidi kwenye sekta ya Afya kushinda Nchi yoyote ya Afrika via Global Fund,Pepfar ,Maleria na Ukimwi nk
Mwisho kwenye Jeshi pia tuna ushirika ambao sio wazi na juzi tuu hapo walitia magari ya Msaada.
Ukweli ni kwamba Marekani inatumia Sana Tanznaia kutegemea Russia na China badala yake.
Asingekuwa Magufuli siasa za JK ziliegemea Marekani zaidi ndio maana viongozi wote wa Marekani wamewahi tembelea Tanzania except huyu Biden nae alimtuma VP Kamala.
USA anajitahidi kadiri awezavyo kuivuta Tanzania upande wake
Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa