Marekani imesema inaitambua rasmi Kenya kama Mshirika wake wa karibu Kiusalama ambae sio mwanachama wa NATO

Wasitutishe sisi tuna waarabu tutaenda na sisi uarabuni tutapokewa kwa heshima...Alisikika chizi mmoja akisema......Tuache unafiki ukiwa na marafiki walio endelea na ww lazima tu utaendelea sasa ww una rafiki mwaraaabu 🤣🤣🤣mamaaaee acha nicheke tu bora hata tungeita wachina ...nchi ya hovyo ssna hiii rafiki mwarabuuuu...
 
Kuingia vitani kwa sababu gani?
 
Sisi kuliko kupambana na rushwa, wizi na udokozi tukaamua kuwapa wajomba zetu waarabu bandari zetu, misitu yetu na wanyama wetu. Kweli tuna akili kubwa.
Mara 10 hata hao warabu wanafanya uwekezaji hapa nchini. Wewe umewahi kuona uwekezaji upi wa mmarekani hapa bong oukakuletea manufaa?
 
Mara 10 hata hao warabu wanafanya uwekezaji hapa nchini. Wewe umewahi kuona uwekezaji upi wa mmarekani hapa bong oukakuletea manufaa?
We uchara sana🐸👈 vandarua na madawa kama ya Hiv umlipia ngapi?

Hivi nimalangapi umesoma vibango vimeandikwa hisani ya watu wa marekani?.
Chura weeeee juzijuzi tu umeletewa mashehena ya mchele mpakamkaanza kuguna.
 
🤣🤣🤣🤣

Tunamuogopa Abiy na oromo front pia Somalia.
Ukweli kwamba kenya hupokea kiwango kidogo sana cha FDI. Ethiopia ndio top priority in subsaharan Africa na South Africa.
Saa hii Ethiopia na Marekani hazisikizani lakini majadiliano yaendelea. Ethiopia has the heart and soul of the US na huu Ukweli hutawahi kuharibika.

Uganda and Tanzania walipata more FDI than kenya in 2023. Ukweli ni kuwa kenya ni namba moja kwa waekezaji binafsiwa wallstreet lakini sio ya maserikali.

Trump atakapo kuwa Rais atavuruga hii mipango yote. Hio 400km expressway haitatengezwa. USA has never funded infrastructure projects in kenya, only UK up to the 90s.

Ile hydroelectric Dam ya grand high falls has been blocked. Hivyo kenya itakuwa energy deficient forever. Geothermal, wind and solar are too expensive sisi kuweza kushindana na low cost countries.

Pale manda island patakuwa USA military base.

Rais wa Ghana alikuwa na official visit kama hii na saa hizi Ghana is in DEFAULT!

Wawekezaji walitoroka kutoka soko la hisa. NSE is still at levels seen lastly 20 years ago.
Sikusikia debt forgiveness hapo nikajua our goose is cooked.
WB inashurutisha serikali kuongoza kodi na kuuza parastatals.

Shida ni kuwa for every parastatal sold parliament will create 2 new others. Hii ndio imekuwa muundo msingi wa kenya.
 
Hizi ni siasa za ndani za marekani hasa kipindi hiki cha uchaguzi .
Wakati wa G.w. Bush na Barack Obama marekani ilikuwa karibu zaidi na Tanzania

Trump akawa hana mpango na afrika :

Sio ajabu Trump akirudi kwa mara ya pili akaja na sera mpya .

Na hivi Tanzania na Ghana zikiwa ni nchi pekee afrika Mpaka sasa kupitisha sheria ya ushoga kuwa ni jinai hutaiona Marekani chini ya democrat waki sapoti Tanzania .

Kenya inaruhusu ushoga .
 
Take
Tusikubali Kenya kuwa na Nguvu kubwa za Kijeshi sebuleni kwetu.Tufanye kama Russia anavyomfanyia Ukraine.

Huu ushirika ni kitisho Cha moja Kwa Moja Cha usalama na maslahi ya Tanzania
La Kwanza, mko na huo uwezo wa kijeshi na kiuchumi? Na la pili, mnadhani ya kwamba Sisi ni burundi ama Uganda? Eti mtufanyie vile Russia inavyomfanyia Ukraine?

Una akili timamu Kweli?
 
La Kwanza, mko na huo uwezo wa kijeshi na kiuchumi? Na la pili, mnadhani ya kwamba Sisi ni burundi ama Uganda? Eti mtufanyie vile Russia inavyomfanyia Ukraine?

Una akili timamu Kweli?
Wewe mukunya tusije kusaficha icho kijiji chenu tuliza komwe.
 
Safi sana, hususan leo hii magaidi wa dini ya kiislamu wanazidi kuzagaa, muhimu tukajiandaa mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…