ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #181
Jikite kwenye hoja usitafute pa kujifichia baada ya kushindwa kuonesha wanachosaidia hao Russia unaowasapoti.."Hizo majina" Kumbe una undugu au wewe ni +254 wafuasi waadilifu wa ubeberu!? Ok nenda Karen kafagie barabara upate green card!
Hao mbwa unaowasifia ni wepesi sana kushawishi watu wahamie eti "green card" lakini wengine wala! Kwenye Kibaya chajitembeza!America is a good Nation sio hao pimbi wengine..
Umewahi sikia Kuna mtu anatamani kuhamia Russia hapa Duniani?
Kibaraka tu wewe! Au umeshawekewa chip ya kukuelekeza kusifu hao mashoga!Jikite kwenye hoja usitafute pa kujifichia baada ya kushindwa kuonesha wanachosaidia hao Russia unaowasapoti..
Urafiki ni kufaana
Huna hoja wewe choko wa Russia 😆😆Kibaraka tu wewe! Au umeshawekewa chip ya kukuelekeza kusifu hao mashoga!
Mkuu ukiwa umezoea umefugwa , wewe waona raha tu.Kumbe hujui kwamba hujui...
[emoji116]View attachment 2638893
Walizopora ni ngapi?,tafakari wewe zuzu, "there's no free lunch at all "Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.
Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.
My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?
Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.
Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.
Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.
Tukuulize wewe si ndio unajua alichochukua utuambie..
Zingine hizi hapa bil.32 za US Aid
Acha kuzingua
Utuambie wewe maana Mimi sijui kama Kuna walizoporaWalizopora ni ngapi?,tafakari wewe zuzu, "there's no free lunch at all "
Wewe Tajiri vipi mbona Bado maskini mbwa weweUkweli huo wewe Sio kubwa jinga Ila mawazo yako ni ya kijinga na kimaskini.
Siiungi mkono marekani kwenye issue za kibabe Kama ilivyokuwa Afghanistan na Iraq..Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.
Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.
My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?
Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.
Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.
Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.
Hata misaada ya Maendelea,aliwachukua maelfu ya Wakimbizi wa Burundi na kuwapa Uraia huko kwakeSiiungi mkono marekani kwenye issue za kibabe Kama ilivyokuwa Afghanistan na Iraq..
Kwenye suala la misaada ya kibinadamu, Marekani Hana mpinzani.
Watu wanamsifia huyo mchina na ujenzi wa miundo mbinu utafikiri kunapotokea majanga Kama njaa hatuoni China akitoa misaada
Urusi ndio kimeo
Ukimwi wameutengeneza wao.. ARV wanazotoa ni kwasababu wanataka tuendane na matakwa yao ikitokea tumeenda kinyume dozi moja ya ARV sio chini ya ml 1.. Marekani ni kwa kiasi kikubwa kuna namna wanaleta majanga Duniani alafu wanajifanya wema laleq huwezi kuwaelewa kama akili yako ni size ya kisoda periodBeberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.
Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.
My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?
Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.
Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.
Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.
Ubarikiwe sana kwa swali lako.Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.
Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.
My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?
Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.
Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.
Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.
mrusi alitufanya kitu mbaya sana wakati idi amini alipotuvamia!Haelewi anachoongea huyo,mwambie amewahi ona Waziri yeyote wa Tanzania akifanya ziara Russia?
Poleni Sana,kwanza alikuwa anasapoyi yule mwehu Amini ,Urusi sio Nchi ya kuiaminimrusi alitufanya kitu mbaya sana wakati idi amini alipotuvamia!
Tuliokuwa Front Hatutasahau daima!
Hata kilicho mkuta Kamanda Samora Moses Machel baada ya kuwashtukia warusi.[emoji24][emoji24][emoji24]
Tatizo la mashabiki wa puti ni shule na ashki majunun mahaba niue
Jadili yetu hapa!marekani ameweza kupiga propaganda urusi ionekane ni nchi ya dunia ya tatu. bahati mbaya wengi wanaamini hivyo, lakini unakumbuka mwanzoni mwa vita ya ukraine baad aya vikwazo, nini kilionekana kuhusu wingi wa private jets za russia, yatches na cruise hips za urusi zilivyo nyingi duniani?
na hadi sasa, kwa wingi wa vituo vya television urusi ndiyo inaongoza duniani. Unaweza ukagoogle na ukacheck hata cia fact book. In nutshel Russia ni threat kubwa kwa marekani, ndiyo sababu huwa anawalazimisha NATO wawe upande wake, hata kwa kuwahonga mapesa mengi kupitia the so called ulinzi dhidi ya russia.
But, kwa sasa nchi kama ujerumani wanakiona cha moto, it is about to go into recession kwa sbaabu ya kukosa gesi.