Marekani imetumia takribani Trilioni 15 kuokoa maisha ya Watanzania kwa miaka 20, Urusi imetumia kiasi gani?

"Hizo majina" Kumbe una undugu au wewe ni +254 wafuasi waadilifu wa ubeberu!? Ok nenda Karen kafagie barabara upate green card!
Jikite kwenye hoja usitafute pa kujifichia baada ya kushindwa kuonesha wanachosaidia hao Russia unaowasapoti..
Urafiki ni kufaana
 
America is a good Nation sio hao pimbi wengine..

Umewahi sikia Kuna mtu anatamani kuhamia Russia hapa Duniani?
Hao mbwa unaowasifia ni wepesi sana kushawishi watu wahamie eti "green card" lakini wengine wala! Kwenye Kibaya chajitembeza!
 
Kumbe hujui kwamba hujui...
emoji15.png
emoji12.png
Mkuu ukiwa umezoea umefugwa , wewe waona raha tu.
 
Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.

Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.

My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?

Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.

Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.

Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.
Walizopora ni ngapi?,tafakari wewe zuzu, "there's no free lunch at all "
 
Tukuulize wewe si ndio unajua alichochukua utuambie..

Zingine hizi hapa bil.32 za US Aid

Unaanza uswahili. Umetoa mada kwa faida yako au watu wasome wajifunze jambo. Sema US ametoa hiki na yeye kafaidika hiki. Urusi katoa hiki na kachukua hiki. Sisi wasomaji ndo tusuke au tunyoe. There is no free lunch in this world. Ogopa zawadi za kigiriki.
 
Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.

Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.

My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?

Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.

Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.

Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.

Siiungi mkono marekani kwenye issue za kibabe Kama ilivyokuwa Afghanistan na Iraq..

Kwenye suala la misaada ya kibinadamu, Marekani Hana mpinzani.

Watu wanamsifia huyo mchina na ujenzi wa miundo mbinu utafikiri kunapotokea majanga Kama njaa hatuoni China akitoa misaada

Urusi ndio kimeo
 
Hata misaada ya Maendelea,aliwachukua maelfu ya Wakimbizi wa Burundi na kuwapa Uraia huko kwake
Namkubali sana huyu Beberu
 
Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.

Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.

My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?

Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.

Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.

Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.
Ukimwi wameutengeneza wao.. ARV wanazotoa ni kwasababu wanataka tuendane na matakwa yao ikitokea tumeenda kinyume dozi moja ya ARV sio chini ya ml 1.. Marekani ni kwa kiasi kikubwa kuna namna wanaleta majanga Duniani alafu wanajifanya wema laleq huwezi kuwaelewa kama akili yako ni size ya kisoda period
 
Ashukuriwe Mungu kwa kuwanyanyua watu wa marekani na kuwapa uwezo wa kuwasidia watanzania
 
Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.

Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.

My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?

Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.

Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.

Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.

Ubarikiwe sana kwa swali lako.
Mada yako ni muhimu sana kwa ustawi wa nchi yetu na vizazi vijavyo.
 
Haelewi anachoongea huyo,mwambie amewahi ona Waziri yeyote wa Tanzania akifanya ziara Russia?
mrusi alitufanya kitu mbaya sana wakati idi amini alipotuvamia!
Tuliokuwa Front Hatutasahau daima!
Hata kilicho mkuta Kamanda Samora Moses Machel baada ya kuwashtukia warusi.[emoji24][emoji24][emoji24]
Tatizo la mashabiki wa puti ni shule na ashki majunun mahaba niue
 
Poleni Sana,kwanza alikuwa anasapoyi yule mwehu Amini ,Urusi sio Nchi ya kuiamini
 
marekani ameweza kupiga propaganda urusi ionekane ni nchi ya dunia ya tatu. bahati mbaya wengi wanaamini hivyo, lakini unakumbuka mwanzoni mwa vita ya ukraine baad aya vikwazo, nini kilionekana kuhusu wingi wa private jets za russia, yatches na cruise hips za urusi zilivyo nyingi duniani?

na hadi sasa, kwa wingi wa vituo vya television urusi ndiyo inaongoza duniani. Unaweza ukagoogle na ukacheck hata cia fact book. In nutshel Russia ni threat kubwa kwa marekani, ndiyo sababu huwa anawalazimisha NATO wawe upande wake, hata kwa kuwahonga mapesa mengi kupitia the so called ulinzi dhidi ya russia.

But, kwa sasa nchi kama ujerumani wanakiona cha moto, it is about to go into recession kwa sbaabu ya kukosa gesi.
Jadili yetu hapa!
Misaada tuliyo pewa na beberu dhahiri¡!
weka msaada wa mrusi mrusi....
Pilipili iko shamba kinächo kuwasha ni ni!
 
Back
Top Bottom