Mtu anapo kusaidia unamuuliza lengo??So Marekani walitoa kwa lengo gani? Au walitoa bila lengo?
Mbuzi wanaofirana mahakama ya mbuzi vingungūti amesababisha Marekani??Mnapenda vya bure sana, US hanaga cha bure ndomana mnapakwa LGBTQ
Umepaniki?Wewe Tajiri vipi mbona Bado maskini mbwa wewe
Kwa kutoa lawama bila kutoa ufumbuzi umefuzu!Mwafrika ni kubwa jinga a.k.a zezeta...Tanzania imepata uhuru miaka 60 iliyopita, Ina maliasili kibao, bado imekaa kama kimba ikisubiri kupewa msaada wa riln 15 kwa miaka 20 na kushangilia kama zuzu.
Hovyo kabisa!
Ukiona jirani yako tajiri anakupa viji msaada badala ya kukupa kazi ili mlipane kwa misingi ya uwajibikaji wako, ujue huyo kuna namna anakufaidi na anataka uwe maskini milele kwa faida ya kizazi chake.
Kosa la nanj??katika hizo fedha za kupambana na ukimwi zingine zililipwa kwa makampuni ya kutengeneza madawa hapa nchini. Kama mnakumbuka kuna kampuni moja ilipewa hizo fedha na kandarasi ya kutengeneza dawa za Ukimwi matokeo yake walioyumia dawa hizo wanasema jinsia ya kike waliota masharubu na jinsia ya kiume waliota chuchu nafikiri serikali ilichukua hatua fulani hivi ...
Umeandika ujinga!Mkuu nakusikitikia sana, hii ni ile mentality ya kaka yangu tajiri lazima anisaidie. You should struggle to build your economy ndio maana sasa mnalazimishiwa ushoga. Na bado Corona version two haijaja, ndio utagundua mambo sio poa.
Weka ww..[emoji56][emoji15]Ungeweka na faida Marekani imevuna kutoka Tanzania,tulinganishe
Usipende vya bure Sasa hv unatakiwa ubinue t.ako kulipa fadhila.Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.
Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.
My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?
Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.
Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.
Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.
Elezea kivipi mkuuUSA hafai kuwa dunia hii, ni nyoka na adui mkubwa
Acha upambavu mkuu,Usipende vya bure Sasa hv unatakiwa ubinue t.ako kulipa fadhila.
jitu kama hili halielewi kwamba ujinga wetu wtz unatokana na kusaidiwa hovyo. Tz safari bado ni ndefu sana
USA hafai kuwa dunia hii, ni nyoka na adui mkubwa
Kabla Marekani hajawa superpower hakukuwa na milipuko ya magonjwa duniani?Kwasababu USA ndie anaetengeneza hayo magonjwa anasambaza, anakupa mkopo wa chanjo,madawa na tiba, nchi yako inadaiwa 90+Trilion za kitanzania kwa mikopo halali na isiyo halali ya beberu mmoja Mubadi sana..USA..
Kwan hujui ukimwi wameutemgeneza wao maabara???Kuna siku nilisema siku waTanzania tutawajua waMarekani ni siku wakiamua leo ndo mwisho wa kufadhili ARV. Wengi hawajawahi kuona ukimwi wa 2005 kurudi nyuma. Huwa mpaka leo namuomba Mungu anipitishe mbali na huo ugonjwa. Nitaomba Mungu anipe mke mwaminifu maana kubaki mifupa ni shida. Na madhaifu yao ila Mungu wabariki waMarekani. Wameondoa aibu ya unyanyapaa mitaani.
China kaanza juzi juzi tuu mingi mikubwa ni ya marekani na taasisi zake world Bank na IMFChina ametukopesha sana pia, mikopo yake mingi ndio haiko wazi kwa raia wa kawaida.
Sifa ya Russia ni kutokuhoji chaguzi za wizi chini ya CCM.Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.
Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.
My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?
Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.
Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.
Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.
TAYARISHA TAKO....Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.
Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.
My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?
Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.
Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.
Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.
Vingi ya hivyo ni vifaa so outdated na vibovu.Magari mengi na mabomu yametoka urusi. Ndege nyingi za kijeshi ni zawarusi.