Marekani imetumia takribani Trilioni 15 kuokoa maisha ya Watanzania kwa miaka 20, Urusi imetumia kiasi gani?

Mnapenda vya bure sana, US hanaga cha bure ndomana mnapakwa LGBTQ
Mbuzi wanaofirana mahakama ya mbuzi vingungūti amesababisha Marekani??
Tunashindwaje kujiamini?
Mbaazi kukosa maua visingizio Kwa jua[emoji15][emoji12]
 
Mwafrika ni kubwa jinga a.k.a zezeta...Tanzania imepata uhuru miaka 60 iliyopita, Ina maliasili kibao, bado imekaa kama kimba ikisubiri kupewa msaada wa riln 15 kwa miaka 20 na kushangilia kama zuzu.
Hovyo kabisa!

Ukiona jirani yako tajiri anakupa viji msaada badala ya kukupa kazi ili mlipane kwa misingi ya uwajibikaji wako, ujue huyo kuna namna anakufaidi na anataka uwe maskini milele kwa faida ya kizazi chake.
Kwa kutoa lawama bila kutoa ufumbuzi umefuzu!
Wanaonufaikä na mali asili Hakika unawajua!
Umechukua hatua gani???
Tatizo lako ni kutaka pepo kufa Hutaki![emoji56][emoji15][emoji12]
 
katika hizo fedha za kupambana na ukimwi zingine zililipwa kwa makampuni ya kutengeneza madawa hapa nchini. Kama mnakumbuka kuna kampuni moja ilipewa hizo fedha na kandarasi ya kutengeneza dawa za Ukimwi matokeo yake walioyumia dawa hizo wanasema jinsia ya kike waliota masharubu na jinsia ya kiume waliota chuchu nafikiri serikali ilichukua hatua fulani hivi ...
Kosa la nanj??
 
Mkuu nakusikitikia sana, hii ni ile mentality ya kaka yangu tajiri lazima anisaidie. You should struggle to build your economy ndio maana sasa mnalazimishiwa ushoga. Na bado Corona version two haijaja, ndio utagundua mambo sio poa.
Umeandika ujinga!
Mwenye mentality ya kaka yangu tajiri ni ww!
Watu wanapambana na maisha hadi wengine wanakufa!
Anae kulazimisha ushoga nani??
Unacho lazimishwa ni kuacha kuingilia falagha za watu! Kama una ubavu wa kuadhibu na kuwahukumu umba wako!
 
Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.

Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.

My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?

Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.

Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.

Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.

Usipende vya bure Sasa hv unatakiwa ubinue t.ako kulipa fadhila.
jitu kama hili halielewi kwamba ujinga wetu wtz unatokana na kusaidiwa hovyo. Tz safari bado ni ndefu sana
 
Acha upambavu mkuu,
Hiyo ni hiari ya mtu na maamuzi yake akiwa mpambavu
 
Kwasababu USA ndie anaetengeneza hayo magonjwa anasambaza, anakupa mkopo wa chanjo,madawa na tiba, nchi yako inadaiwa 90+Trilion za kitanzania kwa mikopo halali na isiyo halali ya beberu mmoja Mubadi sana..USA..
Kabla Marekani hajawa superpower hakukuwa na milipuko ya magonjwa duniani?
 
Kuna siku nilisema siku waTanzania tutawajua waMarekani ni siku wakiamua leo ndo mwisho wa kufadhili ARV. Wengi hawajawahi kuona ukimwi wa 2005 kurudi nyuma. Huwa mpaka leo namuomba Mungu anipitishe mbali na huo ugonjwa. Nitaomba Mungu anipe mke mwaminifu maana kubaki mifupa ni shida. Na madhaifu yao ila Mungu wabariki waMarekani. Wameondoa aibu ya unyanyapaa mitaani.
Kwan hujui ukimwi wameutemgeneza wao maabara???
 
Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.

Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.

My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?

Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.

Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.

Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.

Sifa ya Russia ni kutokuhoji chaguzi za wizi chini ya CCM.
 
TAYARISHA TAKO....
 
Back
Top Bottom