Marekani imetumia takribani Trilioni 15 kuokoa maisha ya Watanzania kwa miaka 20, Urusi imetumia kiasi gani?

Sawa.....

Isije ikawa kama mlevi wa "kahawa tu" je unywaji wao huo kuelekea kazini wa una athari hasi kiutendaji ?!!!
 
Ukianza kushobokea misaada ya nje kama bibi anayechagua bwana mwenye pesa , huendelei ng'o.
 
Hivi unajua mipango yao ni ipi! Wanataka ku create demand na kutufanya dependants wa hizo ndude. Halafu baadaye wanakata misaada. You know what next, ni kusababisha angamizo kubwa kwa sisi wabantu.
[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787]
 

Unajaribu kuaminisha tu. Wao wanajipambanua wazi. Wanasema hawana rafiki wala adui wa kudumu, ila masilahi.
 
[emoji1787]
Fikra bora kabisaaaa....

Agiza karanga mbichi nusu kilo zikupe joto kwa ajili ya shemeji yangu[emoji1787]
 
Mawazo kama haya ni dalili ambayo sio nzuri kwa mwanaume
 
Hakuna msaada wowote unaupata wewe hizo nchi ulizotaja hapo hao ni G7 group na wana common interest .
 
Sawa.....

Mkuu hivi wewe mtoto eee?!!![emoji1787][emoji1787]

Ni kweli alimsaidia....

Kama ilivyo kweli kwa Marekani kuwahiliki wajapani kule Hiroshima na Nagasaki na leo ni marafiki zao wa kupika na kupakua......
 
Unajaribu kuaminisha tu. Wao wanajipambanua wazi. Wanasema hawana rafiki wala adui wa kudumu, ila masilahi.
Hakika....

Na kwa maslahi hayohayo ndio maana bado sisi tutaendelea kuwa marafiki wa kila mmoja wao....ila tuzidi kuboresha yaliyomo katika mahusiano yetu tu [emoji1787][emoji1787]
 
Ficha ujinga mkuu,mzungu hajawahi kutupa hela ila huwa anawekeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…