Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Sawa.....Umenikumbusha wakati tulipokuwa tunakutana na warusi kwenye vijao vyetu vya kikazi. Mnafanyia vikao Sau Paulo, Brazil, mrusi lazima atakuja vodka za kutosha. Ila siyo wachoyo, wakati wa breakfast, lunch au dinner, lazima chupa ya vodka itakuwa mezani. Tulikuwa tunashangaa sana. Yaani wakati wa breakfast, mrusi anapiga glass ya vodka, ndiyo anaenda kazini!!
Isije ikawa kama mlevi wa "kahawa tu" je unywaji wao huo kuelekea kazini wa una athari hasi kiutendaji ?!!!