Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Mnapenda vya bure sana, US hanaga cha bure ndomana mnapakwa LGBTQ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwafrika ni kubwa jinga a.k.a zezeta...Tanzania imepata uhuru miaka 60 iliyopita, Ina maliasili kibao, bado imekaa kama kimba ikisubiri kupewa msaada wa trilion 15 kwa miaka 20 na kushangilia kama zuzu.Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa
Acha kuzinguaMwafrika ni kubwa jinga a.k.a zezeta...Tanzania imepata uhuru miaka 60 iliyopita, Ina maliasili kibao, bado imekaa kama kimba ikisubiri kupewa msaaga wa riln 15 kwa miaka 20 na kushangilia kama zuzu.
Hovyo kabisa!
Ukiona jirani yako tajiri anakupa viji msaada badala ya kukupa kazi ili mlipane kwa misingi ya uwajibikaji wako, ujue huyo kuna namna anakufaidi na anataka uwe maskini milele kwa faida ya kizazi chake.
Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya..
Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.
My Take..
Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?
Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze..
Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.
Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.
Umenikumbusha wakati tulipokuwa tunakutana na warusi kwenye vijao vyetu vya kikazi. Mnafanyia vikao Sau Paulo, Brazil, mrusi lazima atakuja vodka za kutosha. Ila siyo wachoyo, wakati wa breakfast, lunch au dinner, lazima chupa ya vodka itakuwa mezani. Tulikuwa tunashangaa sana. Yaani wakati wa breakfast, mrusi anapiga glass ya vodka, ndiyo anaenda kazini!!Ukienda kusoma Urusi ukirudi Kwisha habari yako mlevi Chakari unakuwa huna msaada tena kwa nchi na familia
Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya..
Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.
My Take..
Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?
Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze..
Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.
Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.
Unaongea kijinga brokatika hizo Trilioni 15 zilizofanya kazi inayotakiwa hata Trilioni 1.5 hazifiki..US na kwenyewe kuna upigwaji wa hali ya juu. Bureaucrats wanaomiliki ma NGO wanajilipa maela makubwa wananunua madefender ya kuzurura kusimamia miradi nk..
Unaongea kijinga bro
Hakuna msaada anaotoa marekani anaingiza mfuko wa kushoto anatolea mfuko wa kulia ila kwa ujinga wetu wengi hatujui hilo.Kwani ni lazima kusaidiwa? Misaada kitu mbaya
Fimra duni hizi. Ebu tuambue US (USAID), Finland (FINIDA), Japan (JICA), wanachukua nini kutoka Tanzania?Ametoa hiyo hela jiulize amechukua kiasi gani
Wewe unahara huko kwa uchafu wako na kwa kunywa kinyesi kwenye maji, halafu useme kuwa umeletewa ugonjwa na Marekani?Kwasababu USA ndie anaetengeneza hayo magonjwa anasambaza, anakupa mkopo wa chanjo,madawa na tiba, nchi yako inadaiwa 90+Trilion za kitanzania kwa mikopo halali na isiyo halali ya beberu mmoja Mubadi sana..USA..
Werevu wako wewe uko wapi ?!!!Russia na watu wao ni wapumbavu sana
Siyo msaada, ni kwa kununua.Magari mengi na mabomu yametoka urusi. Ndege nyingi za kijeshi ni zawarusi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]katika hizo Trilioni 15 zilizofanya kazi inayotakiwa hata Trilioni 1.5 hazifiki..US na kwenyewe kuna upigwaji wa hali ya juu. Bureaucrats wanaomiliki ma NGO wanajilipa maela makubwa wananunua madefender ya kuzurura kusimamia miradi nk..