Marekani imetumia takribani Trilioni 15 kuokoa maisha ya Watanzania kwa miaka 20, Urusi imetumia kiasi gani?

Marekani imetumia takribani Trilioni 15 kuokoa maisha ya Watanzania kwa miaka 20, Urusi imetumia kiasi gani?

Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa
Mwafrika ni kubwa jinga a.k.a zezeta...Tanzania imepata uhuru miaka 60 iliyopita, Ina maliasili kibao, bado imekaa kama kimba ikisubiri kupewa msaada wa trilion 15 kwa miaka 20 na kushangilia kama zuzu.
Hovyo kabisa!

Ukiona jirani yako tajiri anakupa viji msaada badala ya kukupa kazi ili mlipane kwa misingi ya uwajibikaji wako, ujue huyo kuna namna anakufaidi na anataka uwe maskini milele kwa faida ya kizazi chake.
 
Mwafrika ni kubwa jinga a.k.a zezeta...Tanzania imepata uhuru miaka 60 iliyopita, Ina maliasili kibao, bado imekaa kama kimba ikisubiri kupewa msaaga wa riln 15 kwa miaka 20 na kushangilia kama zuzu.
Hovyo kabisa!

Ukiona jirani yako tajiri anakupa viji msaada badala ya kukupa kazi ili mlipane kwa misingi ya uwajibikaji wako, ujue huyo kuna namna anakufaidi na anataka uwe maskini milele kwa faida ya kizazi chake.
Acha kuzingua
 
Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya..

Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.


My Take..
Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?
Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze..

Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.

Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.

Urusi kikubwa ilichowahi kuwasaidia watanzania ni kuwapa wanafunzi walioenda kusoma huko mabinti zao.

Wanawake wa kirusi ni wavumilivu sana kwenye shida. Kuna jamaa alirudi na mwanamke wa kirusi, yule mama alikuwa ni mgumu sana, anatembea kwa mguu hata 20km, akichoka anakodi baiskeli anabebwa.

Kwenye kutotoa misaada, Urusi isilaumiwe. Maisha ya wananchi wake walio wengi bado ni duni sana. Mapato yatokanayo na mafuta, gas na madini, kwa kiasi kikubwa yanaishia kwenye kutengeneza silaha ambazo hazina msaada kwa maisha ya kila siku ya mwananchi.
 
Ukienda kusoma Urusi ukirudi Kwisha habari yako mlevi Chakari unakuwa huna msaada tena kwa nchi na familia
Umenikumbusha wakati tulipokuwa tunakutana na warusi kwenye vijao vyetu vya kikazi. Mnafanyia vikao Sau Paulo, Brazil, mrusi lazima atakuja vodka za kutosha. Ila siyo wachoyo, wakati wa breakfast, lunch au dinner, lazima chupa ya vodka itakuwa mezani. Tulikuwa tunashangaa sana. Yaani wakati wa breakfast, mrusi anapiga glass ya vodka, ndiyo anaenda kazini!!
 
Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya..

Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.


My Take..
Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?
Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze..

Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.

Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.

Wana ishobokea Urusi alafu kila kikicha wanatafuta visa ya kwenda kuishi Marekani
 
katika hizo fedha za kupambana na ukimwi zingine zililipwa kwa makampuni ya kutengeneza madawa hapa nchini. Kama mnakumbuka kuna kampuni moja ilipewa hizo fedha na kandarasi ya kutengeneza dawa za Ukimwi matokeo yake walioyumia dawa hizo wanasema jinsia ya kike waliota masharubu na jinsia ya kiume waliota chuchu nafikiri serikali ilichukua hatua fulani hivi ...
 
Ametoa hiyo hela jiulize amechukua kiasi gani
Fimra duni hizi. Ebu tuambue US (USAID), Finland (FINIDA), Japan (JICA), wanachukua nini kutoka Tanzania?

Kuna watu inaonekana mmejaliwa ubahili wa ajabu. Ina maana huwa hamwezi kumsaidia chochote mtu yeyote mpaka mpewe kitu. Ninyi ndio wale ambao hata ukimnunulia mhudumu wa baa soda au bia, baadaye mnaishia kumtaka mkafanye naye mambo ya hovyo, kisa eti amekunywa soda au bia yako.

Mataifa haya makubwa yanapozipa msaada nchi maskini, siyo kwamba wanategemea sana wachukue kitu toka kwenye nchi yako. Wakati fulani wanatafuta tu recognition, heshima au uhusiano mzuri. Wanajua kuwa wakiwa na uhusiano mzuri na mataifa mengi, wataungwa mkono kwenye masuala ya kimataifa, wakati fulani kwenye masuala ya kiulinzi, n.k. lakini siyo eti wanatarajia wapewe madini kama wengi wanavyodanganywa na kuamini.
 
Urafiki wetu na Urusi si wa hasara.....tusingekuwa na urafiki nao...baba wa taifa asingetutaka urafiki nao....bado katiba yetu ni ya UJAMAA NA KUJITEGEMEA...kama tu tuko na uanachama na JUMUIYA YA MADOLA....iweje tusiwe na ujamaa na wajamaa wenzetu?!!!

Hili haliondoi urafiki wetu na Marekani kwani pamoja na baba wa taifa kuamini katika ujamaa wa kiafrika bado alikuwa ni rafiki wa JF Kennedy......ijapokuwa Marekani ni mabepari bado Democrats wana "busubusu" za ujamaa.....

Taifa lenye kuwekeza katika fikra haliachi kufungamana na mengine japokuwa hatufungamani juu ya kila falsafa....rejea uhusiano wa MAREKANI NA UTURUKI.....

SiempreJMT[emoji120]
 
Kwasababu USA ndie anaetengeneza hayo magonjwa anasambaza, anakupa mkopo wa chanjo,madawa na tiba, nchi yako inadaiwa 90+Trilion za kitanzania kwa mikopo halali na isiyo halali ya beberu mmoja Mubadi sana..USA..
Wewe unahara huko kwa uchafu wako na kwa kunywa kinyesi kwenye maji, halafu useme kuwa umeletewa ugonjwa na Marekani?
 
katika hizo Trilioni 15 zilizofanya kazi inayotakiwa hata Trilioni 1.5 hazifiki..US na kwenyewe kuna upigwaji wa hali ya juu. Bureaucrats wanaomiliki ma NGO wanajilipa maela makubwa wananunua madefender ya kuzurura kusimamia miradi nk..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwa hiyo ni sawa na hizi bilioni 47 za posho za wabunge....mkopo utakaolipwa na watanzania wote eeee?!!!!

NEVER GIVE WISDOM TO UNWORTHY BECAUSE IT IS UNFAIR TO THE KNOWLEDGEABLE [emoji1787]
 
Back
Top Bottom