Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Kwa nini ni bahili ?!!!Russia ni mabahili saanaa, hakuna kitu chochote wanasaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini ni bahili ?!!!Russia ni mabahili saanaa, hakuna kitu chochote wanasaidia
[emoji1787]Ametoa hiyo hela jiulize amechukua kiasi gani
Hapa kuna hoja....[emoji1787]Kwani ni lazima kusaidiwa? Misaada kitu mbaya
[emoji1787]Magari mengi na mabomu yametoka urusi. Ndege nyingi za kijeshi ni zawarusi.
[emoji1787]Hawawezi elewa ana chembe za childhood,ama za ukike kupenda slope
umepoaaaa jamaa hazingui kakuchana ukweli hii nchi ina mali za kutosha alafu wewe unatetea kupewa misaada huku mishipa ya shingo imekutokaAcha kuzingua
Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya..
Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.
My Take..
Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?
Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze..
Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.
Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.
Mkuu bado una utoto?!!Kuna siku nilisema siku waTanzania tutawajua waMarekani ni siku wakiamua leo ndo mwisho wa kufadhili ARV. Wengi hawajawahi kuona ukimwi wa 2005 kurudi nyuma. Huwa mpaka leo namuomba Mungu anipitishe mbali na huo ugonjwa. Nitaomba Mungu anipe mke mwaminifu maana kubaki mifupa ni shida. Na madhaifu yao ila Mungu wabariki waMarekani. Wameondoa aibu ya unyanyapaa mitaani.
Kuna siku nilisema siku waTanzania tutawajua waMarekani ni siku wakiamua leo ndo mwisho wa kufadhili ARV. Wengi hawajawahi kuona ukimwi wa 2005 kurudi nyuma. Huwa mpaka leo namuomba Mungu anipitishe mbali na huo ugonjwa. Nitaomba Mungu anipe mke mwaminifu maana kubaki mifupa ni shida. Na madhaifu yao ila Mungu wabariki waMarekani. Wameondoa aibu ya unyanyapaa mitaani.
Mawazo ya kutojiamini kabisa [emoji15][emoji15]Sio tuu ARVs hata Bajeti yetu Kwa sehemu kubwa wao ndio wafadhili wakubwa
[emoji1787][emoji1787]Mnapenda vya bure sana, US hanaga cha bure ndomana mnapakwa LGBTQ
hakuna vitu vya bure mzeeeFimra duni hizi. Ebu tuambue US (USAID), Finland (FINIDA), Japan (JICA), wanachukua nini kutoka Tanzania?
Kuna watu inaonekana mmejaliwa ubahili wa ajabu. Ina maana huwa hamwezi kumsaidia chochote mtu yeyote mpaka mpewe kitu. Ninyi ndio wale ambao hata ukimnunulia mhudumu wa baa soda au bia, baadaye mnaishia kumtaka mkafanye naye mambo ya hovyo, kisa eti amekunywa soda au bia yako.
Mataifa haya makubwa yanapozipa msaada nchi maskini, siyo kwamba wanategemea sana wachukue kitu toka kwenye nchi yako. Wakati fulani wanatafuta tu recognition, heshima au uhusiano mzuri. Wanajua kuwa wakiwa na uhusiano mzuri na mataifa mengi, wataungwa mkono kwenye masuala ya kimataifa, wakati fulani kwenye masuala ya kiulinzi, n.k. lakini siyo eti wanatarajia wapewe madini kama wengi wanavyodanganywa na kuamini.
[emoji1787][emoji1787]Mwafrika ni kubwa jinga a.k.a zezeta...Tanzania imepata uhuru miaka 60 iliyopita, Ina maliasili kibao, bado imekaa kama kimba ikisubiri kupewa msaada wa riln 15 kwa miaka 20 na kushangilia kama zuzu.
Hovyo kabisa!
Ukiona jirani yako tajiri anakupa viji msaada badala ya kukupa kazi ili mlipane kwa misingi ya uwajibikaji wako, ujue huyo kuna namna anakufaidi na anataka uwe maskini milele kwa faida ya kizazi chake.
Kamarada mwenzangu unaamini ukombozi hupatikana katika misaada yenye kuendelea kila uchao?!!![emoji1787][emoji1787]Acha kuzingua
ndipo tulipojifunza hii michezo..mf. Benki ya dunia inatoa Trilioni 1.5 kwa ajili ya elimu TZ. bilioni 100 zinachomolewa kwa ajili ya shamra shamra za hafla ya kuzipokea, Trilion 1.4 inaenda wizara husika, tunachomoa tena 100 nyingine kwa ajili ya posho na kuandaa mpango kazi wa kuzitumia.. mpaka zifike chini kwnye halmashauri husika zimebaki b900. huko theluthi 'zitapotea' kwenye vitabu, theluthi mbili itajenga majengo kwa overinflated prices.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo ni sawa na hizi bilioni 47 za posho za wabunge....mkopo utakaolipwa na watanzania wote eeee?!!!!
NEVER GIVE WISDOM TO UNWORTHY BECAUSE IT IS UNFAIR TO THE KNOWLEDGEABLE [emoji1787]
Halafu!; Mtz yeyeto anae ishabikia russia hajui kitu mbaya aliyotufanyia mrussi wakati iddi amin alipo tuvamia na kuzuka vita ya Kagera!Li Nchi la hovyo sana lile na ujamaa wake wa.kienyeji..
China alijenga reli ya Tazara Kwa pesa zake walau tunaweza shoboka.nae sio hao wapuuzi
aiseee kwa hiyo siku wakisitisha fedha zao kwenye bajeti zetu ndio itakuwa mwisho wa tanzania mama na watoto wake kuwepo chini jua aj..........?[emoji849][emoji849]Sio tuu ARVs hata Bajeti yetu Kwa sehemu kubwa wao ndio wafadhili wakubwa
Hakika mkuu wangu....Sekta ya Afya,mmarekani anatufadhili mabilioni kupitia Basket Fund..ni pesa ambayo inaingia kila baada ya quarter (Miezi 3)