Marekani imetumia takribani Trilioni 15 kuokoa maisha ya Watanzania kwa miaka 20, Urusi imetumia kiasi gani?

Marekani imetumia takribani Trilioni 15 kuokoa maisha ya Watanzania kwa miaka 20, Urusi imetumia kiasi gani?

Acha kuzingua
umepoaaaa jamaa hazingui kakuchana ukweli hii nchi ina mali za kutosha alafu wewe unatetea kupewa misaada huku mishipa ya shingo imekutoka
msipende vya bure bure mwisho wa siku wana waambia wanaume kwa wanaume waoane .......hamwezi kataa kwa sababu mmekula vyao vya bure ......shiiiit
 
Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya..

Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.


My Take..
Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?
Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze..

Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.

Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.

Kuna wajinga wanapenda udikteta wa Russia usio na faida hadi unawashangaa
 
Kuna siku nilisema siku waTanzania tutawajua waMarekani ni siku wakiamua leo ndo mwisho wa kufadhili ARV. Wengi hawajawahi kuona ukimwi wa 2005 kurudi nyuma. Huwa mpaka leo namuomba Mungu anipitishe mbali na huo ugonjwa. Nitaomba Mungu anipe mke mwaminifu maana kubaki mifupa ni shida. Na madhaifu yao ila Mungu wabariki waMarekani. Wameondoa aibu ya unyanyapaa mitaani.
Mkuu bado una utoto?!!

Una uoga?!!!

Hujui kuwa matatizo humkomaza mtu ?!!!

Siku wakisitisha ARV tutapata fikra za mlango mwingine.....huwenda tukaanza kuzitengeneza zetu wenyewe.....ukiogopa madhara ya kipindi cha mpito cha kukosa hizo dawa basi wewe si mtu mwenye kujiamini......hakuna lipatikanalo bila "harubu" na madhara kidogo....

Yaani unaogopa kupungukiwa kinga za mwili na uzito wa mwili ilihali unahitaji kupata shahada ya udaktari ,sheria ama engineering?!![emoji1787][emoji1787]
 
Kuna siku nilisema siku waTanzania tutawajua waMarekani ni siku wakiamua leo ndo mwisho wa kufadhili ARV. Wengi hawajawahi kuona ukimwi wa 2005 kurudi nyuma. Huwa mpaka leo namuomba Mungu anipitishe mbali na huo ugonjwa. Nitaomba Mungu anipe mke mwaminifu maana kubaki mifupa ni shida. Na madhaifu yao ila Mungu wabariki waMarekani. Wameondoa aibu ya unyanyapaa mitaani.

Hivi unajua mipango yao ni ipi! Wanataka ku create demand na kutufanya dependants wa hizo ndude. Halafu baadaye wanakata misaada. You know what next, ni kusababisha angamizo kubwa kwa sisi wabantu.
 
Sio tuu ARVs hata Bajeti yetu Kwa sehemu kubwa wao ndio wafadhili wakubwa
Mawazo ya kutojiamini kabisa [emoji15][emoji15]

Kwa hiyo siku wakisitisha kuchangia bajeti yetu ndio kitakuwa kiama cha watanzania na taifa letu litafutika duniani?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Hivi shule tunakwenda kusomea nini ?!!! Khaa
 
Fimra duni hizi. Ebu tuambue US (USAID), Finland (FINIDA), Japan (JICA), wanachukua nini kutoka Tanzania?

Kuna watu inaonekana mmejaliwa ubahili wa ajabu. Ina maana huwa hamwezi kumsaidia chochote mtu yeyote mpaka mpewe kitu. Ninyi ndio wale ambao hata ukimnunulia mhudumu wa baa soda au bia, baadaye mnaishia kumtaka mkafanye naye mambo ya hovyo, kisa eti amekunywa soda au bia yako.

Mataifa haya makubwa yanapozipa msaada nchi maskini, siyo kwamba wanategemea sana wachukue kitu toka kwenye nchi yako. Wakati fulani wanatafuta tu recognition, heshima au uhusiano mzuri. Wanajua kuwa wakiwa na uhusiano mzuri na mataifa mengi, wataungwa mkono kwenye masuala ya kimataifa, wakati fulani kwenye masuala ya kiulinzi, n.k. lakini siyo eti wanatarajia wapewe madini kama wengi wanavyodanganywa na kuamini.
hakuna vitu vya bure mzeee
na hakuna mfanya biashara anaetaka hasara ....au hakuna tajiri yoyote anaefanya kazi kwa hasara wote hao ulio wataja wanakupa msaada na wao wanaangalia mali zilizopo chini ya ardhi .....
ukiona nchi yako imepewa msaada wa fedha ujue wao wamebeba mara mbili ya huo msaada...full stop
 
Mwafrika ni kubwa jinga a.k.a zezeta...Tanzania imepata uhuru miaka 60 iliyopita, Ina maliasili kibao, bado imekaa kama kimba ikisubiri kupewa msaada wa riln 15 kwa miaka 20 na kushangilia kama zuzu.
Hovyo kabisa!

Ukiona jirani yako tajiri anakupa viji msaada badala ya kukupa kazi ili mlipane kwa misingi ya uwajibikaji wako, ujue huyo kuna namna anakufaidi na anataka uwe maskini milele kwa faida ya kizazi chake.
[emoji1787][emoji1787]
Point
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwa hiyo ni sawa na hizi bilioni 47 za posho za wabunge....mkopo utakaolipwa na watanzania wote eeee?!!!!

NEVER GIVE WISDOM TO UNWORTHY BECAUSE IT IS UNFAIR TO THE KNOWLEDGEABLE [emoji1787]
ndipo tulipojifunza hii michezo..mf. Benki ya dunia inatoa Trilioni 1.5 kwa ajili ya elimu TZ. bilioni 100 zinachomolewa kwa ajili ya shamra shamra za hafla ya kuzipokea, Trilion 1.4 inaenda wizara husika, tunachomoa tena 100 nyingine kwa ajili ya posho na kuandaa mpango kazi wa kuzitumia.. mpaka zifike chini kwnye halmashauri husika zimebaki b900. huko theluthi 'zitapotea' kwenye vitabu, theluthi mbili itajenga majengo kwa overinflated prices.
 
Li Nchi la hovyo sana lile na ujamaa wake wa.kienyeji..

China alijenga reli ya Tazara Kwa pesa zake walau tunaweza shoboka.nae sio hao wapuuzi
Halafu!; Mtz yeyeto anae ishabikia russia hajui kitu mbaya aliyotufanyia mrussi wakati iddi amin alipo tuvamia na kuzuka vita ya Kagera!
[emoji116][emoji116]
mrusi alimsaidia idi amini kwa kumuuzia ndege vita na kutupa masharti magumu tulipo muomba atuuzie heat seeking missiles ambazo zilituishia!
Kukosa Hekima ya nyerere Kuomba msaada wa Anti aircraft Missiles Msumbiji na Algeria na wao kutusaidia!; amini angeendelea kutamba mwanza na vita ingekuwa endelevu na kuwa fursa kwa mrusi kubalance vita ili kuuza silaha zake
 
Sekta ya Afya,mmarekani anatufadhili mabilioni kupitia Basket Fund..ni pesa ambayo inaingia kila baada ya quarter (Miezi 3)
Hakika mkuu wangu....

Je kilichotengwa kwa mwaka ni kiasi gani katika kulipa posho na mishahara ?!!!
 
Back
Top Bottom