Marekani imetumia takribani Trilioni 15 kuokoa maisha ya Watanzania kwa miaka 20, Urusi imetumia kiasi gani?

Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.

Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.

My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?

Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.

Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.

Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.

Enzi za utumwa, mtumwa asiye na akili za kumtosha, alikuwa na mawazo kwamba aliyemnunua ana haki naye! Na alikuwa anaeleza kuwa bwana wake katumia hela nyingi kumnunua! Hata alipo kuwa akiadhibiwa, alikuwa anafurahia adhabu, Kwa sababu anazihurumia zile gharama boss wake alizotumia kumpata! Wewe ni yule mtumwa unayeishi Leo, ambaye hajakombolewa. Na fikra zako hizo utazitetea mpaka unakufa! Eti Bill Gate na mkewe - Fanya utafiti ujue nia ya hao maboss wako Kwa waafrika.
 
Porojo za kimaskini
 
Baada ya kuanguka Soviet na kusambaratika,Russia ilikuwa katika hali mbaya kiuchumi na imechukua miongo kadhaa kufikia hapo ilipo.Kwa hiyo isingeweza kuzisaidia nchi maskini kiuchumi.
Na sasa hivi iko vitani na nchi za Magharibi kwa hiyo sidhan kama inaweza kutoa msaada wo wote kwa nchi maskini kama Tanzania.
 
Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.

Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.

My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?

Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.

Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.

Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.

Bado ukiwa na akili kimba utawasifu hao mabeberu! Hivi unajua UKIMWI "aliutengeneza" na historia ya kifua kikuu je na mengi mengineyo! Utakapozinduka na kujua juhudi za hilo beberu ni kuangamiza kizazi chako lije huku lijitolee mautajiri utakuwa umechelewa! Haya sasa nieleze sababu ya kutulazimishia ushoga! na kuhonga vijana marijali waharibiwe na kufumuliwa marinda! Disgusting!!!
Halafu usidanganywe kuhusu haki za binadamu hao mbwa wa kibeberu wana siri kubwa mno! Nenda huko kwao uone hizo haki wanazotaka kuzileta huku katika utekelezaji.

Unaulizia Urusi? Hawana mambo ya kibeberu ya kutawala wanataka akili inayojitegemea na kujikwamua yenyewe. China wameshafanikiwa kwa hilo. Ndio maana mabeberu wanajamba jamba hovyo.
Urusi kazi yake imekuwa kukomboa dunia kutoka kwenye makucha ya hawa mbwa mwitu. Ukisikia ukombozi wa nchi za kiafrika jua urusi wako 100%. Unajua kinachoendelea huko central africa? Je west Africa? Mijibwa ya kimagharibi inapandikiza mifarakano ili ijichotee madini na raslimali. Oh God usiende mbali Nenda Kongo. Siku mrusi akienda huku yatatimka! na kuziacha zile raslimali.
Fuatilia achana na mambo ya juu juu!!!
 
Kwa nini Russia haikuwapa dawa? Uviko 19 ametengeneza nani nao?

Majinga sana nyie,Kwa hiyo wakatengeneza ukimwi wakausambaza kwao ukaua ndio wakaleta na Africa harafu wanawapa na dawa si ndio? Tena dawa za Bure sio za kununua..

Kimba mmja wewe usiyejitambua,nasimama na beberu Mwanzo mwisho
 
Kwa nini Russia haikuwapa dawa? Uviko 19 ametengeneza nani nao?
Russia ilipambana hasa kwa wale waliozidiwa kama Italy iliyokuwa inatupa maiti baharini! Nchi ya kwanza kupeleka dawa na madaktari Itali ilikuwa Russia.
UVIKO 19 stori ni nyingi sana ila nikuambia hata mabeberu wanahusika! Na bado utakuja juta ukisikia jinsi yalivyocheza na chanjo za UVIKO kuangamiza Africa. Marekani hawasaidii ila kazi yao ni kumkinga mrusi na mchina asiwa karibu yetu! Kampeni kubwa ya Marekani ni kuhakikisha hatuwi karibu na china wala URusi. Kamala Harris makamu wa Biden alitembelea Africa na alikuja Tz kwa agenda moja tu! kutuonya tuachane na China na Urusi! Jiulize kuna shida gani!? US anatupenda sana!???
 
Sawa.....

Isije ikawa kama mlevi wa "kahawa tu" je unywaji wao huo kuelekea kazini wa una athari hasi kiutendaji ?!!!
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْخَمْرُ وَالْمَيْسِرُ وَالْأَنصَابُ وَالْأَزْلَامُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ فَاجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ

[ AL - MAIDA - 90 ]
Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa.
 
Ili apate nini? Wajinga mna shida sana..

Kwa hiyo nyie machoko mlilazimishwa na America au? 🤣🤣
Wewe ni choko kwani? Mbona mdomo wako unatamka kirahisi neno choko? Anachokitamka sana mtu ndivyo alivyo
 
Enzi za utumwa, mtumwa asiye na akili za kumtosha, alikuwa na mawazo kwamba aliyemnunua ana haki naye! Na alikuwa anaeleza kuwa bwana wake katumia hela nyingi kumnunua! Hata alipo kuwa akiadhibiwa, alikuwa anafurahia adhabu, Kwa sababu anazihurumia zile gharama boss wake alizotumia kumpata! Wewe ni yule mtumwa unayeishi Leo, ambaye hajakombolewa. Na fikra zako hizo utazitetea mpaka unakufa! Eti Bill Gate na mkewe - Fanya utafiti ujue nia ya hao maboss wako Kwa waafrika.
Waelimishe mkuu!! mental slaves wako kibao! Tz
 
Russia ilipambana hasa kwa wale waliozidiwa kama Italy iliyokuwa inatupa maiti baharini! Nchi ya kwanza kupeleka dawa na madaktari Itali ilikuwa Russia.
UVIKO 19 stori ni nyingi sana ila nikuambia hata mabeberu wanahusika! Na bado utakuja juta ukisikia jinsi yalivyocheza na chanjo za UVIKO kuangamiza Africa. Marekani hawasaidii ila kazi yao ni kumkinga mrusi na mchina asiwa karibu yetu! Kampeni kubwa ya Marekani ni kuhakikisha hatuwi karibu na china wala URusi. Kamala Harris makamu wa Biden alitembelea Africa na alikuja Tz kwa agenda moja tu! kutuonya tuachane na China na Urusi! Jiulize kuna shida gani!? US anatupenda sana!???
Upuuzi,aache kupambana kwake walikoufa kama mainzi aje kupambana Italy?
Unaongea vitu vya kufikirika,umewahi sikia watu Wana haha kutaka kuhamia Russia? Hata wewe hapo unatamani kwenda Kwa kubwa la mabeberu America.
 
Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.

Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.

My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?

Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.

Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.

Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.
Kwa msaada wa kondomu na vyandarua vyenye sumu huku waki impose ufirauni wa ulawiti na usagaji.

Hiyo nayo ni misaada? Be serious man!
 
Vyandarua vipi vyenye sumu? Hata Sasa tunatumia sio tuu vyandarua Bali condom na chanjo Kwa msaada wa beberu Marekani..

Njaa zako zikufanye uwe choko uje kumlaumu beberu USA? 😂😂

A to Z wanatoa pesa za kuzalisha vyandarua na condoms mbona mnatumia? Kwa nini hamtumii.za Russia 🤣🤣
 
Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.

Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.

My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?

Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.

Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.

Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.

Na ameiba kiasi gani kupitia makampuni yake kwenye madini!?..maslahi anayotoa kwa nchi zingine za ulaya ghuba ndiyo anayotoa kwa Tanzania kwa kutumia anga letu na kuweka africom yake!?..una uahikaka ni msaada au sehemu ndogo ya Mali yetu tunayostahiki?..nani anampa msaada mwenzie?
 
Back
Top Bottom