Marekani inachunguza matumizi ya nguvu dhidi ya waandamanaji Iran

Marekani inachunguza matumizi ya nguvu dhidi ya waandamanaji Iran

Rais Donald Trump alisema Marekani "imefungwa na imejazwa" na iko tayari kuchukua hatua ikiwa mamlaka ya Iran itatumia nguvu kali dhidi ya waandamanaji wa amani huku kukiwa na machafuko yanayoongezeka ndani ya Iran. Alionya kwamba waandamanaji wa risasi watavuka mstari mwekundu na kusababisha mwitikio wa moja kwa moja wa Marekani.

Kauli ya Trump inakuja huku maandamano yakienea katika miji mingi ya Iran kuhusu kuporomoka kwa uchumi na ufisadi wa serikali, huku vikosi vya usalama vikishutumiwa tayari kwa ukandamizaji wa vurugu. Onyo hilo linaashiria kuongezeka kwa mvutano na ujumbe wazi kwa Tehran huku shinikizo la ndani kwa utawala likiendelea kuongezeka.
 
Attachments

  • IMG_20260102_125925_007.jpg
    IMG_20260102_125925_007.jpg
    86.7 KB · Views: 20
Na wametoa taarifa Raia wote wa Marekani walio Urusi waondoke mara moja
 
Watanganyika tunatakiwa TUKIAMSHE tena.Kama wairani wanaandamana kudai haki wewe mtanganyika unasubiri Nini?TAREHE 12/1/2026 BE PREPARE TUNAKIWASHA TENAHADI MWANAKWEREKWE ARUDI KWAO UARABUNI
 
Habari ndiyo hiyo, D.Trump ameionya the islamic republic of iran wameambiwa wakithubutu kuuwa waandamanaji, basi USA itawalinda, "We are locked and loaded and ready to go."- D.Trump ...

1767361373585.png

islamic republic inashupaza shingo, angalau hata wana kauwezo kidogo, ngoja tuone

IMG_3265.jpeg
 
Attachments

  • 1767361178161.png
    1767361178161.png
    436.7 KB · Views: 22
Ukiishi kwa soma alama za nyakati huwezi teseka sana katika hii dunia,kobazi ayatollah hataki kutambua kuwa utawala wake uko ukingoni

Kama ambavyo Samia bado anajiona kuwa atatoboa hadi 2030 wakati haiwezekani.

Watanganyika wazalendo watamkamata na kumpeleka ICC baada ya warranty ya kumkamata kutolewa huko Hague
 
habari ndiyo hiyo, D.Trump ameionya the islamic republic of iran wameambiwa wakithubutu kuuwa waandamanaji, basi USA itawalinda, "We are locked and loaded and ready to go."- D.Trump ...

View attachment 3524087

islamic republic inashupaza shingo, angalau hata wana kauwezo kidogo, ngoja tuone

View: https://x.com/Osint613/status/2007056558362878049?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E2007056558362878049%7Ctwgr%5E629b011e637b73d40c0856ec182ff344126284ac%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.zerohedge.com%2Fgeopolitical%2Ftrump-says-us-will-intervene-if-iran-kills-protesters-adding-fuel-irans-protest-fire

Asante Trump. Tunataka na Tanzania uje, hii takataka inaitwa Samia iondoke muje muiue kaua Ndugu zetu pasipo na hatia hatumtaki anajizima data eti aonekane wananchi walimchagua hatumtaki kwanza Quran inakataza Taifa kuongozwa na Mwanamke.
 
Iran ingekuwa imetulia nchi nzuri sana, ina watu wenye akili halafu wachapakazi. Hawa viongozi wanaojipachika kuongoza nchi kama hizo ni wakukamatwa na kufungwa mawe ya kilo hamsini shingoni halafu unawatupa bahari. Wanaharibu uumbaji wa mungu. Mungu anataka watu wastarehe waishi kwa raha ndo maana alivyoumba binadamu akampa bustani nzuri ya edeni. viongozi wa Iran wanataka wao ndo waishi vizuri tu kama viongozi wa CCM Tanzania.
 
Watanganyika tunatakiwa TUKIAMSHE tena.Kama wairani wanaandamana kudai haki wewe mtanganyika unasubiri Nini?TAREHE 12/1/2026 BE PREPARE TUNAKIWASHA TENAHADI MWANAKWEREKWE ARUDI KWAO UARABUNI
Mmeshasahau kilichowapata tarehe 29 Oct?
 
Asante Trump. Tunataka na Tanzania uje, hii takataka inaitwa Samia iondoke muje muiue kaua Ndugu zetu pasipo na hatia hatumtaki anajizima data eti aonekane wananchi walimchagua hatumtaki kwanza Quran inakataza Taifa kuongozwa na Mwanamke.
Tatizo hujui kusoma hapo kasema peaceful protesters! Je TZ ilikuwa ni peaceful au vurugu
 
Tatizo hujui kusoma hapo kasema peaceful protesters! Je TZ ilikuwa ni peaceful au vurugu
MABUMUNDA kumbe mko wengi!!! Je umeona maandamano yanayofanyika huko kwa Wafuga midevu na Majini Iran? Una Iona hiyo Choma Choma Festival? Kwa ujinga wako hayo unaitwa si Maandamano? Bure kabisa wewe!!
 
Leta clip isiyo na AI ndani Yake pimbi wewe. Na tuone wanachoma ofisi za uma na kuiba maduka ya watu. Siipendi CCM lakini mlichokifanya MO 29 ulikuwa upimbi ule kama ndo CHADEMA ya hivi Bora niiunge mkono CCM Tu labda Mungu atatuletea chama kingine cha wastaarabu.
 
na sio kama hao marekani na mossad wanaweza kujichomeka ndani ya waandamanaji kisha watawaua wairan alafu wasingizie serikali ili watimize hilo lengo lao wanalopanga gizani.!
 
Back
Top Bottom