Marekani inachunguza matumizi ya nguvu dhidi ya waandamanaji Iran

Marekani inachunguza matumizi ya nguvu dhidi ya waandamanaji Iran

Leta clip isiyo na AI ndani Yake pimbi wewe. Na tuone wanachoma ofisi za uma na kuiba maduka ya watu. Siipendi CCM lakini mlichokifanya MO 29 ulikuwa upimbi ule kama ndo CHADEMA ya hivi Bora niiunge mkono CCM Tu labda Mungu atatuletea chama kingine cha wastaarabu.
Mjinga wewe nani kakuambia huipendi ccm? Acha kujifaragua kwa ujinga ulionao kwa kujificha kwenye kichaka cha AI. kama huoni Choma Choma Festival inayofanyika huko kwa waislamu zaidi yako wanajua Kuchamba Mavi zaidi yako basi wewe ni BUMUNDA la kutupwa.

Maandamano ya Oct 29,2025 Serikali ya Tanzania ilium vijana wengi kwa ukatili mkubwa sana kitu ambacho hakikubaliki na binadamu yeyote isipokuwa BUMUNDA kama wewe tu.
 

Attachments

  • 7093939836931658749.mp4
    562 KB
  • 7027834100460239706.mp4
    5.7 MB
Mjinga wewe nani kakuambia huipendi ccm? Acha kujifaragua kwa ujinga ulionao kwa kujificha kwenye kichaka cha AI. kama huoni Choma Choma Festival inayofanyika huko kwa waislamu zaidi yako wanajua Kuchamba Mavi zaidi yako basi wewe ni BUMUNDA la kutupwa.

Maandamano ya Oct 29,2025 Serikali ya Tanzania ilium vijana wengi kwa ukatili mkubwa sana kitu ambacho hakikubaliki na binadamu yeyote isipokuwa BUMUNDA kama wewe tu.
Mwanzoni kwenye jukwaa la international walipokuita JUHA nilidhani wanakuonea, ila Leo nimejuwa wewe ni zaidi ya JUHA hapo Kwa akili yako ndogo ya kuvukia barabara unaona wamechoma miundombinu?

Unajua maana ya kuchoma miundombinu? Au ndiyo nyie mnaosha vibabu ulaya hampo Tz Kwa hiyo hamjui situation ya kuchoma ilivyokuwa?
 
Waende wakawasaidie kama Libya
Na ndivyo watakavyofanya. Si unaona Libya sasa hivi pako poa.
Ayatollah anajiandalia unyakuo toka USA. Hauwezi vurumisha makombora Tel Aviv uachwe. Kisasi cha USA kinadumu hadi kizazi cha nne cha waichukiao.
 
Mwanzoni kwenye jukwaa la international walipokuita JUHA nilidhani wanakuonea, ila Leo nimejuwa wewe ni zaidi ya JUHA hapo Kwa akili yako ndogo ya kuvukia barabara unaona wamechoma miundombinu?

Unajua maana ya kuchoma miundombinu? Au ndiyo nyie mnaosha vibabu ulaya hampo Tz Kwa hiyo hamjui situation ya kuchoma ilivyokuwa?
Wewe ni zaidi ya BUMUNDA wewe ni TONDOGOSO kabisa nimekuwekea video Iran wana Choma barabara wewe unasema si miundombinu ama kweli wewe ni TONDOGOSO kabisa!!!
 
Wewe ni zaidi ya BUMUNDA wewe ni TONDOGOSO kabisa nimekuwekea video Iran wana Choma barabara wewe unasema si miundombinu ama kweli wewe ni TONDOGOSO kabisa!!!
Siyo bure utakuwa UNATEFYENGWA na Netanyahu yaani mtu kachoma sijui kabox flame Yake kama Moto wa kupikia ugali ...unafananisha na Moto wa kuchoma kituo cha mafuta na magari?

Kwa Aina hii ya maandamano Ayatollah inabidi aendelee na shughuri zake tu...hapo ni kama wanapiga jaramba au marathoni tu.....Ile ya MO29 ilikuwa vandalism ...kuanzia kubaka, kupora kuchoma .
 
Wewe ni zaidi ya BUMUNDA wewe ni TONDOGOSO kabisa nimekuwekea video Iran wana Choma barabara wewe unasema si miundombinu ama kweli wewe ni TONDOGOSO kabisa!!!
Angalia hapo halafu fananisha hao mabasha zako Nani anaandamana na nani yupo marathon hapo
 

Attachments

  • hero_tanzania.jpg
    hero_tanzania.jpg
    131.5 KB · Views: 17
Watanganyika tunatakiwa TUKIAMSHE tena.Kama wairani wanaandamana kudai haki wewe mtanganyika unasubiri Nini?TAREHE 12/1/2026 BE PREPARE TUNAKIWASHA TENAHADI MWANAKWEREKWE ARUDI KWAO UARABUNI
Tanzania hata mfanye nini, hamna thamani kwenye macho ya mmarekani. Aje asaidie waandamanaji ili apati nini??? Hizo mbuga za wanyama au??? Kinachomsumbua mashariki ya kati na nchi za kiarabu ni mafuta tu, hakuna kingine. Miliki uchumi wa mafuta, miliki nguvu ya kijeshi na kiteknolojia basi unaimiliki dunia..
 

Wewe Una akili ndogo Sana na pia umemezwa na propaganda za Israel. Siwezi kubishana na mtu yupo affiliated na mrengo fulani. Iran protests are purely peaceful BUT in Tanzania that was pure vandalism. Kwa hiyo ulitaka serikali ifanyaje? Ikae kimya mpaka nchi iishe? That is selfish hii ni democratic country unamkata kidole aliyeenda kupiga kura ili iweje unataka uforce unachokitaka wewe na yeye alazimike kukitaka?

Huwa nasema na nitarudia tena Western democracy is a rubbish inatakiwa tuwe na madictator Tu kama Kwa Traole maana hatuna ustaarabu.
 
Rais Donald Trump alisema Marekani "imefungwa na imejazwa" na iko tayari kuchukua hatua ikiwa mamlaka ya Iran itatumia nguvu kali dhidi ya waandamanaji wa amani huku kukiwa na machafuko yanayoongezeka ndani ya Iran. Alionya kwamba waandamanaji wa risasi watavuka mstari mwekundu na kusababisha mwitikio wa moja kwa moja wa Marekani.

Kauli ya Trump inakuja huku maandamano yakienea katika miji mingi ya Iran kuhusu kuporomoka kwa uchumi na ufisadi wa serikali, huku vikosi vya usalama vikishutumiwa tayari kwa ukandamizaji wa vurugu. Onyo hilo linaashiria kuongezeka kwa mvutano na ujumbe wazi kwa Tehran huku shinikizo la ndani kwa utawala likiendelea kuongezeka.

Aanze kuja huku kwetu au hakuuliwa mtu Okt 29 , 2025 ??
 
Wewe Una akili ndogo Sana na pia umemezwa na propaganda za Israel. Siwezi kubishana na mtu yupo affiliated na mrengo fulani. Iran protests are purely peaceful BUT in Tanzania that was pure vandalism. Kwa hiyo ulitaka serikali ifanyaje? Ikae kimya mpaka nchi iishe? That is selfish hii ni democratic country unamkata kidole aliyeenda kupiga kura ili iweje unataka uforce unachokitaka wewe na yeye alazimike kukitaka?

Huwa nasema na nitarudia tena Western democracy is a rubbish inatakiwa tuwe na madictator Tu kama Kwa Traole maana hatuna ustaarabu.
Wewe ndiyo BUMUNDA kabisa Maandamano ya Iran si Peaceful kama unavyobwabwaja!!! Wewe unasumbuliwa tu na Ujinga na Upumbavu wako!!

View: https://x.com/osint613/status/2007938897171587223?s=61

View: https://x.com/niohberg/status/2007919130863964672?s=61

View: https://x.com/trobinsonnewera/status/2007915503919251858?s=61

View: https://x.com/visegrad24/status/2007919583915811323?s=61
 
Back
Top Bottom