Ndio maana mnasaini mikataba bila kipendele cha muda , wasomi hovyo kbs , wananchi tukikaa kimya mnachanganyikiwaKinachonifurahisha baada ya marekani kutoa hilo tamko la kupeleka hayo mabomu, Russia imekaa kimya. Nina uhakika hilo jambo la Russia kutojibu chochote limemchanganya sana marekani