Marekani inaendelee kutoa somo la adabu & power, Ndani ya wiki 2 tu nchi 5 zilizotaka kumvimbia Trump zimejikunja kwa utiifu

Marekani inaendelee kutoa somo la adabu & power, Ndani ya wiki 2 tu nchi 5 zilizotaka kumvimbia Trump zimejikunja kwa utiifu

Ukitaka kumjua Super power mkuu ni rahisi, akijitoa kwenye shirika la afya lenye mataifa 194, kelele zinaanza.

aibimpaka misaada ya arv na mipira atoe yeye, viongozi wa Africa wanatuangusha sana, hadi leo hatuna viwanda vya dawa, hii misaada kuna muda inalevya tunasahau kabisa kujita egemea kwenye shida zetu .
Trump anakusudia watawaliiwa wajue jinsi watitawala wanavyowaibia, badala ya kutumia pesa zao kwenye sekta muhimu huko wanatumia misaada za kwetu wanaiba
 
Marekani anazibabaisha nchi kama Panama na Colombia na kupewa sifa kweli Panama ni level ya Marekani?

Akapambane na wakubwa wenzake
 
Hujaweka kitu chochote, weka points zenye ushahidi nione na kujua ni wapi sipo informed
Hujasoma taarifa ya fox kuwa na wao canada wamewawekea taarifa kujibu amna mnyonge hapo .. usa sio manufacturing country na watakaoumia ni wamarekan pekee yao maana ...kuna bidhaa kamwe hazipo hazizalishwi usa sasa unavyoweka taarifa kwa bidhaa ambayo kwako hazipo maana si unatengeneza mfumuko wa bei usio wa lazima . Unaweka taarifa kwa zile bidhaa linganifu ili kulinda viwanda sasa kama huna viwanda vya hizo bidhaa ni ujinga mwingine . Na zipo sababu nyingi tu kwanini makampuni mengi hayawezi kuwekeza usa na kamwe huwezi lazimisha ikiwa gharam za uzalisha za kwako ziko juu hata uwekee taarifa 100% haitakaa iweekzene viwanda vinamchakato wake kuvianzisha huwezi kuamka tu ghafla bin vuu uanataka wamarekni wanunua product za usa ili hali hazipo . Wamarekani maiasha yakianza kuwa magumu watamtoa .. kwa maandamano ww subiri
 
huyo trump hamna chochote
Canada alivyomjibu na umeme kwa 25%, trump akaongeza kuwa 50%, Canada akasema na mimi naongeza ya umeme ifike 50%
Trump akanywea......😀

1741727177631.png
 
Back
Top Bottom