The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
China imebaki kulialia eti itaipeleka Marekani mahakamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusu niniChina imebaki kulialia eti itaipeleka Marekani mahakamani.
Mbona tayari hadi China kaanza kulialia na kuitishia Marekani ataipeleka mahakamani.ATUME NA CHINA SASA.
Vikwazo vya tariffs marekani imeiwekea. Trump kaiwekea china 10% tu ndo analia hivyo je angeiwekea 25% kama Canada na Mexico kilio kingekuwaje?Kuhusu nini
Mbona tayari hadi anatishia kwenda mahakamani.Bado China tu
Trump anakusudia watawaliiwa wajue jinsi watitawala wanavyowaibia, badala ya kutumia pesa zao kwenye sekta muhimu huko wanatumia misaada za kwetu wanaibaUkitaka kumjua Super power mkuu ni rahisi, akijitoa kwenye shirika la afya lenye mataifa 194, kelele zinaanza.
aibimpaka misaada ya arv na mipira atoe yeye, viongozi wa Africa wanatuangusha sana, hadi leo hatuna viwanda vya dawa, hii misaada kuna muda inalevya tunasahau kabisa kujita egemea kwenye shida zetu .
Bado China tu
Mbona tayari hadi China kaanza kulialia na kuitishia Marekani ataipeleka mahakamani.
Hujasoma taarifa ya fox kuwa na wao canada wamewawekea taarifa kujibu amna mnyonge hapo .. usa sio manufacturing country na watakaoumia ni wamarekan pekee yao maana ...kuna bidhaa kamwe hazipo hazizalishwi usa sasa unavyoweka taarifa kwa bidhaa ambayo kwako hazipo maana si unatengeneza mfumuko wa bei usio wa lazima . Unaweka taarifa kwa zile bidhaa linganifu ili kulinda viwanda sasa kama huna viwanda vya hizo bidhaa ni ujinga mwingine . Na zipo sababu nyingi tu kwanini makampuni mengi hayawezi kuwekeza usa na kamwe huwezi lazimisha ikiwa gharam za uzalisha za kwako ziko juu hata uwekee taarifa 100% haitakaa iweekzene viwanda vinamchakato wake kuvianzisha huwezi kuamka tu ghafla bin vuu uanataka wamarekni wanunua product za usa ili hali hazipo . Wamarekani maiasha yakianza kuwa magumu watamtoa .. kwa maandamano ww subiriHujaweka kitu chochote, weka points zenye ushahidi nione na kujua ni wapi sipo informed