Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Magaidi wa Houth huko Yemen wanaendelea kupata kipondo cha kufa mtu kutoka majeshi ya Marekani baada ya vituo vyao vya kuhifadhia mafuta kuangamizwa na majeshi ya Marekani usiku wa kuamkia leo. Kipigo cha leo kitasababisha upatikanaji wa mafuta nchin humo kuwa mgumu sana kwa wananchi na utawala mzima wa magaidi hao.
View: https://x.com/osint613/status/1912788894933778462?s=61
View: https://x.com/osint613/status/1912788894933778462?s=61