Mlisema hivyo hivyo kwa Hamas sasa kiko wapiKawaida ya US kupiga civilian target kuona.ma tank yamafuta ya kiwaka wanadhani ndio Military target π
Us kumshinda Al Houthi ni ndoto tu endelea kuota.
ww ndio upo kwenye Ashki majunun ππKawaida ya US kupiga civilian target kuona.ma tank yamafuta ya kiwaka wanadhani ndio Military target π
Us kumshinda Al Houthi ni ndoto tu endelea kuota.
Swali mmeisha washinda Hamas?Mlisema hivyo hivyo kwa Hamas sasa kiko wapi
Nyie imbeni tu nyinbo za kanisani vita bado hamzijui, mnadhani Hezbullah, Hamas, Al Houthi mtawaweza.ww ndio upo kwenye Ashki majunun ππ
Hivi huwa mnawaza nini?Kawaida ya US kupiga civilian target kuona.ma tank yamafuta ya kiwaka wanadhani ndio Military target π
Us kumshinda Al Houthi ni ndoto tu endelea kuota.
Wewe endelea kuota kama US atashinda vita.Hivi huwa mnawaza nini?
Hao Houth ndio wa kushindana na Marekani kweli?πππ. Huu utoto sasa.
Ni suala la muda.
Hamas mlisema hivyo, Hezbu mlisema hivo. Hata huyo Iran hana ubavu wa kumshinda USA
ππWewe endelea kuota kama US atashinda vita.
Hezbollah wapi mmemshinda, mlisimamisha vita Lebanon kwa kutumia ma pro western walioko kwenye serekali ya Lebanon. Hezbullah mpaa vita vinasimama alikuwa anarusha Missiles anapo taka afu mnasema kisha hahaha
Hamasi lini mmemshinda? Hivi Hamas kisha ondolewa Gaza au ni ndoto
Houth wamejibebesha mzigoKawaida ya US kupiga civilian target kuona.ma tank yamafuta ya kiwaka wanadhani ndio Military target π
Us kumshinda Al Houthi ni ndoto tu endelea kuota.
Ushabiki wa mitandaoniWewe endelea kuota kama US atashinda vita.
Hezbollah wapi mmemshinda, mlisimamisha vita Lebanon kwa kutumia ma pro western walioko kwenye serekali ya Lebanon. Hezbullah mpaa vita vinasimama alikuwa anarusha Missiles anapo taka afu mnasema kisha hahaha
Hamasi lini mmemshinda? Hivi Hamas kisha ondolewa Gaza au ni ndoto
Sawa sisi tunataka tuone meli zinaenda Israel? Kupitia Red Sea. Je kuna meli ya US inapita Red Sea tokea kaingia vita na Al Houth.Houth wamejibebesha mzigo
Wananchi wasio na hatia wanauawa kila siku, nyumba zao zinaharibiwa.
Madhara makubwa kwenye uchumi, nchi yenyewe masikini
Sawa sisi tunataka alicho ongea Shetanyahu kuwa ataifuta Hamas.Ushabiki wa mitandaoni
Wananchi wa kawaida wanateseka wakati askari wa HAMAS wamejificha
Kutopita kwa meli Red Sea wananchi wa Yemen wanafaidikaje?Sawa sisi tunataka tuone meli zinaenda Israel? Kupitia Red Sea. Je kuna meli ya US inapita Red Sea tokea kaingia vita na Al Houth.
Story zingine peleka jikoni kwako.
Kanisa limeingiaje?. Umekalia udini tu. Kwahiyo wouth, Hamas,hezbullah wametumwa na uislamu kufanya vita?. Maana kila ukiwaongelea lazima utaje kanisa au wakristo kwa kashfa?. Embu nijibu tujue Kama dini ndiyo inafanya mashambulizi kupitia hayo makundi au?.Nyie imbeni tu nyinbo za kanisani vita bado hamzijui, mnadhani Hezbullah, Hamas, Al Houthi mtawaweza.
Iran ni level ingine kwanza tupeni dalili vipi Yemen US kashinda au bado?
Vipi Gaza.mmeshinda au bado?
Vipi Hezbullah kaisha kabidhi silaha zake au bado?
Endeleni kuota wafuasi wa pepo toka π π€£