Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Kwa namna Marekani ilivyoonyesha upendeleo wa dhahiri, naweza kusema inatengeneza uharibifu mwingine sijui kwa faida gani!
Je, hali hii inaiweka dunia kwenye wakati gani? Je, hii ni mbinu ya Marekani kuendelea kuzimiliki nchi za Mashariki ya Kati au kiburi tu?
Je, Marekani inatawaliwa na Israel kwa mlango wanyuma? Kunani?