FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kwa faida yake. USA na NATO yake hawafanyi kisichokuwa na faida nao.Kwa namna Marekani ilivyoonyesha upendeleo wa dhahiri, naweza kusema inatengeneza uharibifu mwingine sijui kwa faida gani!
Je, hali hii inaiweka dunia kwenye wakati gani? Je, hii ni mbinu ya Marekani kuendelea kuzimiliki nchi za Mashariki ya Kati au kiburi tu?
Je, Marekani inatawaliwa na Israel kwa mlango wanyuma? Kunani?
Ghaza iligunduliwa natural gas nyingi.
Soma zaidi: Gaza s gas fields: A symbol of Palestine s shackled economic potential