Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
China ni kibaraka wa USALazima utambue tupo chini ya Empire ya USA, kabla ya hapo ilikuwa UK, France.
China inaibuka ila nguvu kubwa inatumika kuizima. Russia ilishindwa miaka ya tisini.
Sasa hivi kuna utawala wa Magharibi USA na Aakicontrol NATO na EU na washirika kimkakati dunia nzima Japan, South Korea, Indonesia, Nigeria, nchi nyingi za Dunia kupitia IMF, World bank, UN.
China anaangalia miaka 100, 500, 1000.Sio kibaraka ila wanategemeana sana na USA.China ni kibaraka wa USA
China hamna kituChina anaangalia miaka 100, 500, 1000.Sio kibaraka ila wanategemeana sana na USA.
Export zake nyingi bado ni USA, Wawekezaji wake wakubwa bado ni USA.
Anamiliki kiasi kikubwa cha dollar kuliko nchi yoyote. Huwezi kuziuza kwa wakati mfupi kirahisi bei itashuka sana.
Timing mpe miaka ishirini, uone Dunia itakapokuwa
Amka usingizini utajikojoleaKuna watu ukiwaambia Marekani, nchi wanachama wa NATO na Israel ni mataifa ya uovu duniani, huwa hawataki kuamini. Ila ukweli ndiyo huo. Haya mataifa mawili yananuka uovu na uharibifu tu.
Ukifuatilia kwa ukaribu, utagundua vurugu, vita na fujo zote zinazotokea duniani; chanzo ni Marekani, NATO, au Israel!
StupidAmka usingizini utajikojolea
Chaa ajabu hyo Israel inayopenda vita kuliko aman linaitwaa taifaaa teuleee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..Kuna watu ukiwaambia Marekani, nchi wanachama wa NATO na Israel ni mataifa ya uovu duniani, huwa hawataki kuamini. Ila ukweli ndiyo huo. Haya mataifa mawili yananuka uovu na uharibifu tu.
Ukifuatilia kwa ukaribu, utagundua vurugu, vita na fujo zote zinazotokea duniani; chanzo ni Marekani, NATO, au Israel!
Wahuni tu hao. Hakuna Taifa teule hapo.Chaa ajabu hyo Israel inayopenda vita kuliko aman linaitwaa taifaaa teuleee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
cjui wanamwabudu MUNGU yupi huyo wao.
hv umevuta bangi ? mf hamas wangevamia Tanzania , mngekaa kimya tu ?Kwa namna Marekani ilivyoonyesha upendeleo wa dhahiri, naweza kusema inatengeneza uharibifu mwingine sijui kwa faida gani!
Je, hali hii inaiweka dunia kwenye wakati gani? Je, hii ni mbinu ya Marekani kuendelea kuzimiliki nchi za Mashariki ya Kati au kiburi tu?
Je, Marekani inatawaliwa na Israel kwa mlango wanyuma? Kunani?
duhKuna watu ukiwaambia Marekani, nchi wanachama wa NATO na Israel ni mataifa ya uovu duniani, huwa hawataki kuamini. Ila ukweli ndiyo huo. Haya mataifa mawili yananuka uovu na uharibifu tu.
Ukifuatilia kwa ukaribu, utagundua vurugu, vita na fujo zote zinazotokea duniani; chanzo ni Marekani, NATO, au Israel!
duh mkiishambulia mnataka isijibu kisa inapebda aman?Chaa ajabu hyo Israel inayopenda vita kuliko aman linaitwaa taifaaa teuleee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
cjui wanamwabudu MUNGU yupi huyo wao.