Kwa faida yake. USA na NATO yake hawafanyi kisichokuwa na faida nao.Kwa namna Marekani ilivyoonyesha upendeleo wa dhahiri, naweza kusema inatengeneza uharibifu mwingine sijui kwa faida gani!
Je, hali hii inaiweka dunia kwenye wakati gani? Je, hii ni mbinu ya Marekani kuendelea kuzimiliki nchi za Mashariki ya Kati au kiburi tu?
Je, Marekani inatawaliwa na Israel kwa mlango wanyuma? Kunani?
Ina maana akili huna?.China ni kama tako la Mlogazila tu.
Niwe na akili kama wewe ili iweje? Si bora nisiwe na akili tu?Ina maana akili huna?.
kumbe ndio maana huna akili.Niwe na akili kama wewe ili iweje? Si bora nisiwe na akili tu?
Wewe zimekusaidia nini zaidi ya kuharibikiwa hivyo ulivyo? Maana huko nyuma haukua hivyo hadi alipopata 'akili' ndiyo ukaharibikiwakumbe ndio maana huna akili.
Israel huwa ina kauli mno kwa utawala wa Marekani bila kujali chama kinachotawala, wale pro-Israel huko US wana nguvu Sana.Je, Marekani inatawaliwa na Israel kwa mlango wanyuma? Kunani?
Hiyo miaka 20 Marekani kakaa na kuangalia tuChina anaangalia miaka 100, 500, 1000.Sio kibaraka ila wanategemeana sana na USA.
Export zake nyingi bado ni USA, Wawekezaji wake wakubwa bado ni USA.
Anamiliki kiasi kikubwa cha dollar kuliko nchi yoyote. Huwezi kuziuza kwa wakati mfupi kirahisi bei itashuka sana.
Timing mpe miaka ishirini, uone Dunia itakapokuwa
UONGOKuna watu wengi hawajui kwamba unapozungumzia marekani unazungumzia Israel. Sehemu kubwa ya maswala ya ulinzi pamoja na teknorojia ya marekani inashikiliwa na wa-israel
Nani kamchokoza mwenzake?Kuna watu ukiwaambia Marekani, nchi wanachama wa NATO na Israel ni mataifa ya uovu duniani, huwa hawataki kuamini. Ila ukweli ndiyo huo. Haya mataifa mawili yananuka uovu na uharibifu tu.
Ukifuatilia kwa ukaribu, utagundua vurugu, vita na fujo zote zinazotokea duniani; chanzo ni Marekani, NATO, au Israel!
Ni watu wasio ifahamu historia ya hilo eneo pekee, ndiyo watasema Hamas + Wapalestina ndiyo wachokozi.Nani kamchokoza mwenzake?
Ngoja waje Israel wakukute hapoUONGO
huna akili.Wewe zimekusaidia nini?.
Tangu utoke Mloganzila unajiona jiazi sanahuna akili.