The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Kwa nini DT haataki Yuan ishuke thamani na ikishuka huwa anapiga kelele nyingi?? Sasa wajaribu ivyo waone mziki wake
... wote watayumba ila kuna atakayepepesuka zaidi!Lazima watumie akili ya ziada,kuiadhibu China kwa mtindo huo kutaumiza uchumi wa dunia nzima,kwani China inategemewa na nchi nying sana kiuchumi,hata wenyewe Marekani itayumba kwa huo uamuzi...
Hiili USA atasanda. China mpaka Sasa tayari ana Yuan Clearinghouse na tayari Kuna Nchi wanaitumia. Mpaka Sasa Duniani kote kutuma hela China na Kwengineko lazima hela zipite USA (SWIFT) na wanapata % kwa kila dola moja.Na iwapo USA atamstop Mchina matumizi ya Dola itakuwa Tzs to Yuan... Kenya Shillings to Yuan etc.
Mmarekani uchumi wake upo hivi due to dollarization,naona Trump alijui hili mkuu!! Iwapo mfano Asia,Africa yote na ulaya wakawa wananunua na kuuza bidhaa with China in Yuan ,bila SWIFT kuwepo katikati .......asubuthuuu....Yeah, China akiamua kutumia hela yake kibiashara inamaana dola inaenda kushuka thamani, nimekusima mkuu
Soma hii analysis, hii ina lengo la kuimaliza Yuan.Hiili USA atasanda. China mpaka Sasa tayari ana Yuan Clearinghouse na tayari Kuna Nchi wanaitumia. Mpaka Sasa Duniani kote kutuma hela China na Kwengineko lazima hela zipite USA (SWIFT) na wanapata % kwa kila dola moja.Na iwapo USA atamstop Mchina matumizi ya Dola itakuwa Tzs to Yuan... Kenya Shillings to Yuan etc.
Hiiv jaman ni kwamba sisi ambao tuko Tanzania na si ajab wengi hapa hata Amsterdam tuu hamja cross ndio tunajua zaid ya hawa wamarekan? Kwamba wao wakati wanaamua haya hawajafikiria hilo?Mmarekani uchumi wake upo hivi due to dollarization,naona Trump alijui hili mkuu!! Iwapo mfano Asia,Africa yote na ulaya wakawa wananunua na kuuza bidhaa with China in Yuan ,bila SWIFT kuwepo katikati .......asubuthuuu....
... kama watakabidhiana maburungutu ya fedha kwa viroba sawa ila kama zitapitia through formal financial transactions SWIFT haikwepeki na hapo ndipo mchina anapochapiwa.Kama Mchina ana dollar zake, na anataka kununua mafuta ya MSaudi au dhahabu ya Mtanzania kwa dollar za Kimarekani, Mmarekani atamzuia vipi Mchina kutumia dollar?
... bila kusahau wale mabilionea wanaokutana pale Breton Woods kujadili uchumi wa dunia eti nao hawajawaza hilo na badala yake wamewaachia wauza kuku wa Tandale wadadavue mambo hayo kwa niaba yao! Ajabu sana Mkuu.Hiiv jaman ni kwamba sisi ambao tuko Tanzania na si ajab wengi hapa hata Amsterdam tuu hamja cross ndio tunajua zaid ya hawa wamarekan? Kwamba wao wakati wanaamua haya hawajafikiria hilo? Kwa hio all major banks pale kuanzia BA, JP, Chase bank, Lehman Brothers, Citi Bank, including Federal reserve hawa woote hawajaona haya ni sisi tu tunaona hii impact.....narudia tena msemo wake "we have gat all options on the table" kwa hio mchina yeye baada ya hilo achague njia yake then ndio tutaanza kuona zile options sasa pale mezan
Nakwambia dunia ina mambo sana hii mkuu... bila kusahau wale mabilionea wanaokutana pale Breton Woods kujadili uchumi wa dunia eti nao hawajawaza hilo na badala yake wamewaachia wauza kuku wa Tandale wadadavue mambo hayo kwa niaba yao! Ajabu sana Mkuu.
Na mimi nashangaa.Hiiv jaman ni kwamba sisi ambao tuko Tanzania na si ajab wengi hapa hata Amsterdam tuu hamja cross ndio tunajua zaid ya hawa wamarekan? Kwamba wao wakati wanaamua haya hawajafikiria hilo? Kwa hio all major banks pale kuanzia BA, JP, Chase bank, Lehman Brothers, Citi Bank, including Federal reserve hawa woote hawajaona haya ni sisi tu tunaona hii impact.....narudia tena msemo wake "we have gat all options on the table" kwa hio mchina yeye baada ya hilo achague njia yake then ndio tutaanza kuona zile options sasa pale mezan
Kinachotokea, kama hii habari ipo kama ilivyoandikwa na unavyosema wewe, ni Mmarekani kuharakisha watu kama Wachina na Warusi kutoka katika hiyo mifumo ya SWIFT.... kama watakabidhiana maburungutu ya fedha kwa viroba sawa ila kama zitapitia through formal financial transactions SWIFT haikwepeki na hapo ndipo mchina anapochapiwa.