Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
That is a totally separate extrapolation.Kiranga think beyond borders.
Next move itakua war! Ambapo USA hatakua front bali atauza silaha.
China atakua upande wake against USA proxies.
Uchina itatepeta na kunyong'onyea mbaya.
I was thinking beyond borders, in fact beyond the space time continuum the borders are in.
Wewe ndiye bado uko restricted kwenye thinking ya kwamba US bado ina na itaendelea kuwa na monopoly ya kuuza silaha, hata baada ya US dollar kuanguka kwa sababu ichumi wa dunia utaacha kuitegemea sana kama fedha ya kutumika katika biashara ya kimataifa.
Bado hujaelewa kwamba kitu kinachoifanya Marekani iwe na nguvu ni US dillar kutumika katika biashara za kimataifa? Hujaelewa kwamba hayo mambo mengine yote ya kuuza silaha ni secondary, kitu primary ni US dollar kutumika katika biashara za kimataifa?