Marekani inafikiria kuizuia China kutumia mfumo wa Dollar kwenye malipo yoyote yanayohusu Dollar ya Marekani

Best prez ever my nigga!

These motherfvkers been fvcking with the almighty US for long...its payback time!

As a third worlder,I cant live on this planet with China as a super power,I cant tolerate my liberties and human rights decided by a authoritarian group of criminals in Beijing..In the country even mahamaka hupati haki sababu CCP said so....heri US mahakamani naweza pata haki maana their judicial system works.

CCP wakichukua dunia we are all fuvcked,tena big time!
Nice try Amigo, you are obviously reciting from US Govt handout - comments zako gotta lot in common na za Mh.Pompeo.
 
Mkuu

Hii ni clear na haina ubishi..

Huwezi niweka kwenye utawala wa autocracy na authoritarian wa China...ni heri uniweke kwenye utawala unaofuata misingi ya democracy na liberties na rule of law ambapo actually mahakama zinafanya kazi!

Utawala wa CCP Beijing ukipitisha hukumu yako,hakuna cha mahakama yeyote inaweza kusaidia lolote...

In the USA,kuna mahakama na unaweza urgue your case na winning rate ni actually 50%50%..

China conviction rate ni 99%!

Dunia hii heri USA itawale tu,maana najua I got a shot mahakamani.....

China ikitawala,sahau due processs!

Nani anataka upunguani wa kupoteza personal liberties eti kwa kigezo cha "maendeleo",ndio mashabiki wa China mnataka which is nonsense kabisa!
 
Vita vya mabeberu huwa haina msuluhishi.Acha sie tuwe washuhudiaji.
 
Sawa mkuu ngoja nikajionee...
Up-to-date
Nimetembelea website wanasema " sorry,this episode is currently not available" nimekosa uhondo!
Nalog off
Ni kweli BBC wamendoa hio video online. Nilikuwa imesave mahali. Ngoja nitafute
 
Lazima watumie akili ya ziada,kuiadhibu China kwa mtindo huo kutaumiza uchumi wa dunia nzima,kwani China inategemewa na nchi nying sana kiuchumi,hata wenyewe Marekani itayumba kwa huo uamuzi...
Ndo hivyo maankae lila nchi italazima kuwa na sarafu ya uchina ili ifanye malipo .
Kwa hiyo USA atabaki tu na madolla yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa currency war, Marekani hataiweza China. China ndio biggest trading nation in the world by both value and volume. Kumkataza China asitumie Dollar au mfumo wa swift katika biashara ya kimataifa kutaiangusha Dollar ya Marekani na Dollar ya Marekani ikianguka, uchumi wa Marekani utaanguka pia.

Kumbuka kinachoipa nguvu US Dollar ni kutumiwa na dunia nzima kama reserve currency hali ambayo inaifanya fedha hiyo iaminike na kutumiwa na mataifa mengi duniani. Tatizo ni kwamba China ni Global Trade Giant ambaye kamwe hatashindwa kutumia pesa yake ya YUAN au EURO ya Ulaya kama mbadala wa US Dollar katika biashara ya kimataifa. Na vikwazo vya SWIFT vitaiamsha dunia nzima usingizini na kufanya kila liwezekanalo kupata mbadala wa SWIFT code katika international transactions.

Pia, China anaweza ku-trade na baadhi ya nchi kwa local currency, ingawa hili linategemea sana kwamba balance of trade iko in favour au against China. Kwa nchi ambazo China inazitegemea kwa malighafi mahsusi hasa ya nishati kama Iran, Venezuela, Saudi Arabia, Nigeria nk ni rahisi kwa China kutumia local currency kufanya biashara kwa sababu balance of trade itakuwa stable kwa kiasi kikubwa. Kwa vifaa vya ki-technology kama semi-conductor technology, ni rahisi pia kwa China kutumia local currency ku-trade na hizo nchi.

Hata hivyo, kwa nchi nyonge kibiashara, China anaweza kutumia YUAN au fedha nyingine yenye nguvu kama EURO ili kufanya biashara na mataifa hayo. Hii itamaanisha kwamba mataifa hayo itabidi yaongeze reserve yao ya YUAN/ EURO kwenye central bank zao na kupunguza reserve ya US Dollar by the same ratio. Hali hii ni hatari sana kwa stability ya US Dollar.
 
China inaaanguka vizuri tuuuuu. Kabla ya China, USA aliwekeza sana India na alikuwa na viwanda vingi kama unavyoona na alivyoaanza kuamisha viwanda vyake China, Leo India sio powerfully kibihashara kama USA,. Amerka wana mbinu nyingi sana, za kukuangusha kibihashara
 
... bila kusahau wale mabilionea wanaokutana pale Breton Woods kujadili uchumi wa dunia eti nao hawajawaza hilo na badala yake wamewaachia wauza kuku wa Tandale wadadavue mambo hayo kwa niaba yao! Ajabu sana Mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaa wewe!!!.
[emoji23][emoji23]

Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu

Hii ni clear na haina ubishi..

Huwezi niweka kwenye utawala wa autocracy na authoritarian wa China...ni heri uniweke kwenye utawala unaofuata misingi ya democracy na liberties na rule of law ambapo actually mahakama zinafanya kazi!

Utawala wa CCP Beijing ukipitisha hukumu yako,hakuna cha mahakama yeyote inaweza kusaidia lolote...

In the USA,kuna mahakama na unaweza urgue your case na winning rate ni actually 50%50%..

China conviction rate ni 99%!

Dunia hii heri USA itawale tu,maana najua I got a shot mahakamani.....

China ikitawala,sahau due processs!

Nani anataka upunguani wa kupoteza personal liberties eti kwa kigezo cha "maendeleo",ndio mashabiki wa China mnataka which is nonsense kabisa!
[emoji6][emoji23][emoji23]

Kwahio unataka UCHINA wafuate system ya utawala wa US

Kila mtu anajiendesha anavyotaka kwani unadhani kilamtu anapenda atawaliwe nataifa ambalo linapigia chapuo usagaji na ushoga ?!

Poleni sana asee ila mtazoea tu msijali wala nini maana kunamambo hayazuiliki yanachelewa tu kama hili la UCHINA.
 
China inaaanguka vizuri tuuuuu. Kabla ya China, USA aliwekeza sana India na alikuwa na viwanda vingi kama unavyoona na alivyoaanza kuamisha viwanda vyake China, Leo India sio powerfully kibihashara kama USA,. Amerka wana mbinu nyingi sana, za kukuangusha kibihashara
wataiangusha lini MKUU ?! [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom