Marekani inakuwa stronger sana kiuchumi au kijeshi kwa sababu ya strong base ya demokrasia waliyo nayo. Hata rais haiwezi kuleta migumo yake

Anachaguliwa na nani?
 
Acha kupotosha wewe jamaa unajua mchakato wa kumpata rais wa marekanii huanzia wapii??
Sitaki kujua nnachojua nikwamba raia zaidi ya 200M wa marekani sio wanao mchagua rais

Sasa demokrasia iko wapi
 
Hakuna mchi yenye full democracy pia hakuna nchi yenye pure dictator ship

Rejea anachofanyiwa trump ileni democracy?
 
Umeshaona marekani rais aliyeko madarakani anakataa kutoka baada ya kutochaguliwa kwa kura. Umeshaona rais wa marekani anaongoza vipindi vitatu kama akina museveni na kagame. We huoni wanasiasa au wanaharakati wote wanakimbilia marekani hasa baada ya kutishwa kuuawa kama akina Roma mkatiliki, mange kimambi nk.
 
Hivi unajua kinachofanyika ukraine na gaza kuna mtu anachoshwa soon utasikia cube,venezula au china anakianzisha

Na ukweli ukraine kaachwa yatima
 
Shida inaanzia hapaa Mkuu unapokuwa hujui kitu uwe unaulizaa
Ngoja kwanza kwanini wamarekani hua wanapiga kura kumchagua rais?

Ila cha ajabu kura zao hua haziamui nani awe rais

Demokrasia iko wapi hapa
 
Nakwambia tena achana na masuala ya huko twende haya uloyaleta ya marekani huko achana nao

Raia 200M wa marekani ndio wanaochagua rais wa marekani?
 
Sababu ni moja tu pesa yake kuwa pesa ya dunia ....tumia akili
 
Demokrasia ya marekani ni ya hovyo kabisa bora demokrasia ya uchina inaweza ikaeleweka
 
Sababu ni moja tu pesa yake kuwa pesa ya dunia ....tumia akili
Kwa Nini pesa yetu isiwe ya Dunia? Ndo mana nasema wale Wana akili kubwa na akilinyao imetokana na demokrasia. Pesa kuwa ya Dunia maana yake money supply na demand for money are balanced
 
Kwa Nini pesa yetu isiwe ya Dunia? Ndo mana nasema wale Wana akili kubwa na akilinyao imetokana na demokrasia. Pesa kuwa ya Dunia maana yake money supply na demand for money are balanced
Mtu mwenye akili kubwa hawezi akaua wengine akatesa wengine ili tu apate kua mkubwa

Marekani anachokifanya yeye nikutumia wizi ila sio akili

Sasa kama mtu akiwa mwizi mnyang'anyi laghai maana yake ndio akili kubwa basi kazi tunayo
 
Ngoja kwanza kwanini wamarekani hua wanapiga kura kumchagua rais?

Ila cha ajabu kura zao hua haziamui nani awe rais

Demokrasia iko wapi hapa
Mkuu Kuna asilimia ya kura ambazo lazima uzipate kutoka kwa wananchii na pia ulishawahii kujiuliza na hao wachache wanaopinga kura kuamua huaga wanapatikanaje?? Mchakato wa kumpata rais wa marekanii huanzia kwanza kwa wananchi kupiga kura watakaowania kiti Cha urais kupitia Chama Cha democratic na republican ambapo kila mwananchi anaruhusiwa kupiga kura kitu ambacho Afrika hakuna
 
Mtu mwenye akili kubwa hawezi akaua wengine akatesa wengine ili tu apate kua mkubwa

Marekani anachokifanya yeye nikutumia wizi ila sio akili

Sasa kama mtu akiwa mwizi mnyang'anyi laghai maana yake ndio akili kubwa basi kazi tunayo
Kwani nyie wizi umewashinda au hamjui namna ya kuiba.
 
Haya yote mimi nayajua

Sasa kama wana demokrasia kweli kama mnavyowasemea demokrasia yenyewe iko wapi hapo

Kwani demokrasia si wingi ndio hua wanapewa ama mmebadilisha hoja kwenye demokrasia

Yaani zungukeni ila kinachofanywa marekani sio demokrasia
 
Mimi nanani?
Wizi sio njia nzuri yakupata maendeleo ndio maana sisi hatuibi
Sasa mbona marekani ni super power kiuchumi duniani kama unasema wizi siyo njia ya kupata maendeleo. Wewe ambaye huibi una maendeleo Gani kizidi marekani wakati ndo wanakupa msaada wa kila aina kwa wizi wao huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…