GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Yaani unadhani mikataba ya DPW,vitalu vya uwindaji,madini na takataka nyiingi wanasaini kwa kufuata sheria?Marekani ni nchi tajiri, hiyo inafahamika!
Pamoja na hayo, bado kuna raia wake wasiokuwa na makazi wala chakula, ambao wanaishi kwa kuomba omba...
Kwa hiyo tunapokutana na vibao "KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI" tunapaswa kuchukua tahadhari siyo!Cha kwanza ujue na uelewe marekani hakuna huruma hao wasio na makazi wameshindwa kulipia vyumba au nyumba kwahyo hakuna zile za kukaa kwa shangazi, marekani ni mnyonyaji anapokupa msaada anamalengo yake anataka yatimie hata kama hatochota mali ila kuna kona fulani atakubana ili afaidike yeye
Tena kubwa yaani kama unauwezo wa kupata huduma nyingine sehemu tofauti bora ukahudumiwe huko mambo ya hisani achana nayo maana kwao kuna wenye uhitaji ila wanatoa misaada nje ili tuendelee kubweteka kwao wanapambana wanatoka mitaani sisi tunapambana ili tuwe mtaani nadhani unaiona hatari iliyopoKwa hiyo tunapokutana na vibao "KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI" tunapaswa kuchukua tahadhari siyo!
😃😃😃Tena kubwa yaani kama unauwezo wa kupata huduma nyingine sehemu tofauti bora ukahudumiwe huko mambo ya hisani achana nayo maana kwao kuna wenye uhitaji ila wanatoa misaada nje ili tuendelee kubweteka kwao wanapambana wanatoka mitaani sisi tunapambana ili tuwe mtaani nadhani unaiona hatari iliyopo
Kusaidiwa ni jambo jema, lakini kusaidia is better than kusaidiwa!!!Acheni uoga. Mnaogopa kusaidiwa?
Marekani inanufaika vizuri sana na misaada yake na lengo hasa la misaada hiyo ni kuwanufaisha wao kwanza na wala hakuna tatizo lolote katika hilo.Marekani ni nchi tajiri, hiyo inafahamika!
Pamoja na hayo, bado kuna raia wake wasiokuwa na makazi wala chakula, ambao wanaishi kwa kuomba omba.
Lakini ndiyo nchi inayoongoza dunianai kwa kutoa misaada.
Nini sababu ya Marekani kuzisaidia nchi zingine wakati kuna raia wake wanaohitaji kusaidiwa? Kuna namna inanufaika na huo ukarimu?
Tanzania inaweza kuuiga Marekani kwa kuzisaidia nchi zililzo chini kiuchumi kuzidi Tanzania, kama Burundi?
Hata mm najiuliza sana kuhusu hili jamboMarekani ni nchi tajiri, hiyo inafahamika!
Pamoja na hayo, bado kuna raia wake wasiokuwa na makazi wala chakula, ambao wanaishi kwa kuomba omba.
Lakini ndiyo nchi inayoongoza dunianai kwa kutoa misaada.
Nini sababu ya Marekani kuzisaidia nchi zingine wakati kuna raia wake wanaohitaji kusaidiwa? Kuna namna inanufaika na huo ukarimu?
Tanzania inaweza kuuiga Marekani kwa kuzisaidia nchi zililzo chini kiuchumi kuzidi Tanzania, kama Burundi?
Leo umeongea pointiMarekani inanufaika vizuri sana na misaada yake na lengo hasa la misaada hiyo ni kuwanufaisha wao kwanza na wala hakuna tatizo lolote katika hilo.
Fafanua kidogo mkuu, inanufaikaje? Huenda na sisi tukapata wazo la kufanya hivyo kwa nchi zingine.Marekani inanufaika vizuri sana na misaada yake na lengo hasa la misaada hiyo ni kuwanufaisha wao kwanza na wala hakuna tatizo lolote katika hilo.
Mikataba ya DP world tayari imesainiwaDubai ilinufaika vipi na kutupa msaada wa kuweka picha ya Samiah kwenye jengo refu duniani?