Marekani inaomba "po" kiaina: Inaiambia Ukraine ikubali mazungumzo ya amani na Urusi!!

Wanajua msimu huu ni mbaya ulaya gesi ni muhimu sasa wakomae na muuni wa bongo movi
 
Askali wa kujitolea toka UK, anatoa ushuuda mambo yalivyo magumu kwa Ukraine, askali wake wengi wanakufa sana pamoja na hao mamuruki toka mataifa ya ulaya nchi za NATO wanapukutika sana kwenye uwanja wa vita, hizi media za magharibi hazitowi picha kamili ya vita. Baada ya kipindi cha baridi Ukraine watakuwa wameshaweka silaha chini. Japo USA anashupaza shingo andelee kutengeneza pesa toka kwa mataifa ya Europe.

Huyu waziri mkuu wa Finland keshakubali mziki wa Putin siyo wa kitoto anasema ukweli kwamba nchi za ulaya hawawezi kukabiliana na Russia hata kidogo. Wataangukq wao.
 
no wonder they are asking for dialogue they have been beaten squarely

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…