T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Blinken niliona anahamaki angekuwa mbongo angenyoosha mkono ule wa huyu anasemaje huyu.Mpaka Blinken akasikitika.
Ila kibabu Biden kinachekesha sana
Tatizo la afya linamsumbua Biden inabidi apumzike asigombee maana kuna baadhi ya mambo anafanya yanatia aibu hata viongozi wake
Biden asigombee, cha ajabu na uzee wake sera zake zinajulikana ni zipi na ameweza pitisha nchi kwenye COVID-19.
Yani Marekani hata ukimpeleka Kingwendulile anaongoza. Mimi naona hamnaga changamoto labda za kujitakia, ni utimize sera zilezile ulizopewa kura na usikilize wataalamu na washauri na ufuate sera za chama chako. Mambo mengine yanajiseti yenyewe.