Marekani inapaswa kukutana na China njiani ili kutafuta jinsi ya kuelewana

Mpaka Blinken akasikitika.

Ila kibabu Biden kinachekesha sana

Tatizo la afya linamsumbua Biden inabidi apumzike asigombee maana kuna baadhi ya mambo anafanya yanatia aibu hata viongozi wake
Blinken niliona anahamaki angekuwa mbongo angenyoosha mkono ule wa huyu anasemaje huyu.
Biden asigombee, cha ajabu na uzee wake sera zake zinajulikana ni zipi na ameweza pitisha nchi kwenye COVID-19.

Yani Marekani hata ukimpeleka Kingwendulile anaongoza. Mimi naona hamnaga changamoto labda za kujitakia, ni utimize sera zilezile ulizopewa kura na usikilize wataalamu na washauri na ufuate sera za chama chako. Mambo mengine yanajiseti yenyewe.
 
Ila I wish kuna siku nimuone Blinken kama Rais wa US namkubali sana Blinken na naona kabisa cheo cha Urais kinamkaa kabisa sijui kwa nini nimetokea kumkubali huyu mwamba.

Kwanza binafsi namuona Blinken ni mtulivu fulani kwa Urais ni kitu muhimu sana
 
Matajiri ni wajanja janja sana wapo kwa ajili ya pesa
 
ifuatilie china sio kujipa majibu kichwan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…