Marekani inataka kujiondoa kuwa Mwanachama kuficha idadi ya wagonjwa wa Corona na vifo kusitisha mchango wake WHO ni mwanzo wa Safari

Corticopontine

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2019
Posts
666
Reaction score
1,277
Kwa mnaofuatilia siasa za Marekani huwa hayuko tayari. Kukubali kushindwa anapopata aibu hutafuta wa kumsingizia ili yy aendelee kuilinda heshima take kwa propaganda

Mmarekani amesema atafikia kilele cha maambukizi wiki hii huku akijua wazi mdudu huyu haonekani na hatabiriki kwa hiyo mmarekanii ni mwoga sn anataka kuweka Mpira kwapani anataka kuficha aibu ya kwamba ameshindwa
 
Wamarekani wakitaka kufanya yao haijalishi ni wanachama au siyo wanachama.

WHO imetumika. sana kusambaza huu ugonjwa duniani kutokana na kuwa kibaraka wa Beijing

1. WHO ilipinga vikali mataifa kufunga mipaka yao dhidi ya wachina, leo tunajua kuwa wakati majimbo mengine ya China yakiwazuia watu kutoka Hubei kuingia, lakini China haikufanya lolote kuzuia raia wake hata waliotoka Hubei kupanda ndege kwenda kwenye mataifa mengine na kusambaza kirusi

2. WHO walichukua taarifa za China kuwa kirusi siyo man to man trsnsmitted, kitendo kilichofanya mataifa yaamini taarifa hizo na kuacha kuchukua hatua za kuyaandaa mataifa yao

3. WHO ilijivutavuta kutangaza hili janga ni Pandemic, kitendo ambacho kilimislead mataifa kuelevate status zao za kujilinda dhidi ya huyu kirusi

4. WHO ilikuwa ikiamini taarifa za wachina bila kuzichallenge, au kutuma wataalamu wake wafanye kazi bega kwa bega na wachina ili kureport kwa usahihi situation huko China, na badala yake WHO ilikuwa ikiparrot taarifa za China kama kasuku

5. Wachina wamepika data nyingi, wamedanganya sana kuhusu idadi ya visa vya maambukizi na vifo lakini WHO haijaonyesha kuchallenge uwongo huu wa beijing
 
Kwa mnaofuatilia siasa za Marekani huwa hayuko tayari. Kukubali kushindwa anapopata aibu hutafuta wa kumsingizia ili yy aendelee kuilinda heshima take kwa propaganda

Mmarekani amesema atafikia kilele cha maambukizi wiki hii huku akijua wazi mdudu huyu haonekani na hatabiriki kwa hiyo mmarekanii ni mwoga sn anataka kuweka Mpira kwapani anataka kuficha aibu ya kwamba ameshindwa
The blame game continues. Other countries responded quickly & aggressively to combat the spread of #COVIDー19. You failed to do the same; this is the RESULT. The world had the SAME info from W.H.O./China. YOU WERE WARNED by your WHO aides/intel!
 
China culture is killing us.
 
Yaani US Wanaotoa Mchango cjui msaada kwa WHO Wameshindwa Kuwafanya WHO Kuwa vibaraka wao ila CHINA Anaetoa Sent Kadhaa Ndio Awafanye WHO Vibaraka Akilini Hai ingii (PROPAGANDA)
Wamarekani walitala kufanya yao haijalishi ni wanachama au siyo wanachama.

WHO imetumika. sana kusambaza huu ugonjwa duniani kutokana na kuwa kibaraka wa Beijing

1. WHO ilipinga vikali mataifa kufunga mipaka yao dhidi ya wachina, leo tunajua kuwa wakati majimbo mengine ya China yakiwazuia watu kutoka Hubei kuingia, lakini China haikufanya lolote kuzuia raia wake hata waliotoka Hubei kupanda ndege kwenda kwenye mataifa mengine na kusambaza kirusi

2. WHO walichukua taarifa za China kuwa kirusi siyo man to man trsnsmitted, kitendo kilichofanya mataifa yaamini taarifa hizo na kuacha kuchukua hatua za kuyaandaa mataifa yao

3. WHO ilijivutavuta kutangaza hili janga ni Pandemic, kitendo ambacho kilimislead mataifa kuelevate status zao za kujilinda dhidi ya huyu kirusi

4. WHO ilikuwa ikiamini taarifa za wachina bila kuzichallenge, au kutuma wataalamu wake wafanye kazi bega kwa bega na wachina ili kureport kwa usahihi situation huko China, na badala yake WHO ilikuwa ikiparrot taarifa za China kama kasuku

5. Wachina wamepika data nyingi, wamedanganya sana kuhusu idadi ya visa vya maambukizi na vifo lakini WHO haijaonyesha kuchallenge uwongo huu wa beijing
Wakat UCHINA Anaruhusu RAIA Wake Wasafiri Kwenda Mataifa Mengine Hayo Mataifa Mengine Yangewazuia WACHINA Wasiingie Mataifani Mwao Wangepitia Wapi Ama Wangeingia Kwanjia Gani ?!

US Akishamaliza Propaganda Zake Anatakiwa Akalale Hakuna Anaejali Propaganda Zake Watu Washa Anza Kumzoea Nakumchoka.

Sent using My COVID-19
 
Yaani US Wanaotoa Mchango cjui msaada kwa WHO Wameshindwa Kuwafanya WHO Kuwa vibaraka wao ila CHINA Anaetoa Sent Kadhaa Ndio Awafanye WHO Vibaraka Akilini Hai ingii (PROPAGANDA)Wakat UCHINA Anaruhusu RAIA Wake Wasafiri Kwenda Mataifa Mengine Hayo Mataifa Mengine Yangewazuia WACHINA Wasiingie Mataifani Mwao Wangepitia Wapi Ama Wangeingia Kwanjia Gani ?!

Umesahau baadhi ya mataifa kama Marekani yaliyofunga mipaka mapema dhidi ya China, WHO iliita kitendo hicho ni racism huku China ikiita kuwa ni overreation?
 
Kifo kitamuumbua tu na biashara kufungwa yeye c kajiandaa vizur na kujiita super power ndo atumie nyuklia Sasa kuua virusi
Kwa mnaofuatilia siasa za Marekani huwa hayuko tayari. Kukubali kushindwa anapopata aibu hutafuta wa kumsingizia ili yy aendelee kuilinda heshima take kwa propaganda

Mmarekani amesema atafikia kilele cha maambukizi wiki hii huku akijua wazi mdudu huyu haonekani na hatabiriki kwa hiyo mmarekanii ni mwoga sn anataka kuweka Mpira kwapani anataka kuficha aibu ya kwamba ameshindwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio akalale aokote maiti zake akazike
Yaani US Wanaotoa Mchango cjui msaada kwa WHO Wameshindwa Kuwafanya WHO Kuwa vibaraka wao ila CHINA Anaetoa Sent Kadhaa Ndio Awafanye WHO Vibaraka Akilini Hai ingii (PROPAGANDA)Wakat UCHINA Anaruhusu RAIA Wake Wasafiri Kwenda Mataifa Mengine Hayo Mataifa Mengine Yangewazuia WACHINA Wasiingie Mataifani Mwao Wangepitia Wapi Ama Wangeingia Kwanjia Gani ?!

US Akishamaliza Propaganda Zake Anatakiwa Akalale Hakuna Anaejali Propaganda Zake Watu Washa Anza Kumzoea Nakumchoka.

Sent using My COVID-19

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau baadhi ya mataifa kama Marekani yaliyofunga mipaka mapema dhidi ya China, WHO iliita kitendo hicho ni racism huku China ikiita kuwa ni overreation?
Linapokuja suala la usalama wako achana namaneno maneno ya kanga

Us baada ya kuambiwa kama ni ubaguzi sijui over nn !?
Alichukua maamuzi gani kuwalinda watu wake kulilinda taifa lake na kuulinda uchumi wake ?!

Linapokuja suala la usalama wataifa husika hakuna kucheza na mtu yeyote

Kama US Walifungua mipaka kisa kikiwa hicho hapo ni mawili idara yao yausalama haijitambui ama wamefanya kusudi kuua raia wao

Angalia wanavyi deal na wanaowaita magaidi mkisema msiseme wakiamua wanafanya wnafanya kweli

US Wasintafte mchawi wachawi wenyewe na yule bwege anae waongoza.

Sent using My COVID-19
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jibu la hii kitu litakua la kibaiolojia.
Kutokea wapi mii sijui!
Sio lapopo tena kutoka WUHAN ?!

Mnataka tuelewe kipi hapa asee ?!.

Sent using My COVID-19
 
Back
Top Bottom